JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanaume wanaweza wakawa marafiki hata mwaka mzima, ila awajuani majina yao Kwa wanaume, urafiki hujengwa juu ya shughuli za pamoja (shared activities). Mnaweza kuwa mnakutana maskani kucheza...
10 Reactions
81 Replies
1K Views
Moja kwa moja. Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na...
13 Reactions
107 Replies
1K Views
Sakata la kupanda mafuta, kila kitu kitapanda bei. Isipokuwa kimoja, Mshahara tu ndio hautapanda.
7 Reactions
9 Replies
247 Views
Mfungo unaelekea ukingoni, bado siku nne mambo yetu yarudi paanze kuchangamka sasa. Jibu hilo swali la kwenye kichwa cha uzi au jichagulie jingine hapo chini tupige story! Hakuna utamu kama...
18 Reactions
453 Replies
4K Views
Au ni roho ya kutu imeuingia fundo? kwangu yaliomo yamo. mpo?????
1 Reactions
5 Replies
102 Views
Meta AI and me with my broke English......
4 Reactions
11 Replies
297 Views
Ubaya wa kupewa lift ni lazima ucome up na different topics za kudiscuss kama radio presenter. Hufai kukosa content😂 Na lazima u maintain convos muda wote.
13 Reactions
40 Replies
796 Views
Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je? Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye...
14 Reactions
317 Replies
4K Views
👉Tambua ushaibiwa nyota yako. 👉 Umepoteza nuru yako binafsi. 👉 Umepoteza uwezo wako binafs. 👉 Hufanyi kitu bila kuwaza mashariti. 👉 Una mahamuzi sahihi kuhusu changamoto zinazokukabili. 👉...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama Iran hawatalegeza masharti ya upatikanaji wa mafuta, tunakoelekea siku 60 zijazo magari yetu tutayageuza kuwa mabanda ya mifugo tu. Safari ya kutoka sehemu moja kwenda kwingine itakuwa...
8 Reactions
20 Replies
272 Views
Wachawi japo tunawakemea vikali sana, lakini mimi nashukuru uwepo wao kwa kiwango kikubwa! kusingekuwepo uchawi, sijuwi hali ingekuwaje?! wote tunajua Mungu yupo lakini si wote wanaomwamini &...
1 Reactions
11 Replies
881 Views
Wana Jf kwa yeyote anayemjua mganga fundi kweli kweli hasa maeneo ya Bagamoyo!
0 Reactions
56 Replies
6K Views
jamani kama kuna waganga wa kusafisha nyota ya mapenzi au kumpata unayemtaka basi wanaweza fanya na vice verse, yaani kumfukuza usiyemtaka. Nimependwa na babu jinga afu haelewi, nioge dawa gani...
2 Reactions
58 Replies
17K Views
Yeyote ambaye anaweza nisaidia kwa hili jambo pls PM me, ninayo shida ya mapenzi nahitaji litatuliwe. Tafadhali no fakes
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Unaweza nawe kunisaidia kushangaa na kujiuliza maswali ninayojiuliza mimi kila inapofika wakati wa mchezo Tundu ni moja tuu lakini ufundi mwingi, MB wen we kibao, style kamala zote! Hivi haya yote...
11 Reactions
42 Replies
855 Views
Kuna siku nikiwa nikiwa mdogo nilikuwa namsifia mzee mmoja ni tajiri lakini yupo simple, mavazi yake huwezi kumdhania ni tajiri. Nikaambiwa huyo anafuata masharti maalum ya kuoga, haruhusiwi...
4 Reactions
19 Replies
379 Views
Jamani nimekuwa nikisikia kuhusu hili swala la utajiri wa ndagu. Unapata utajiri wa kutupwa kwa masharti magumu. Kama Kuna mtu anayafamu vizuri haya mambo naomba anielekeze niishi maisha ya kifalme.
5 Reactions
87 Replies
20K Views
Habari za hivi punde zinasema aliyekuwa mwenyekiti wq CUF Prof. Ibrahim Lipumba ametimkia CHADEMA na wanachama wengine kadhaa LEO TAREHE 1 APRIL! Habari hizo zinathibisha kuwa hata Mchungaji...
9 Reactions
24 Replies
539 Views
Kuna ndugu yangu anataka kuchukua huo uamuzi
1 Reactions
20 Replies
10K Views
Utakuta watu wakitofautiana wanabaki kutukanana maandazi wewe ama andazi wewe. Sasa kwanini andazi ama maandazi itumike kwenye lugha chafu wakati ni kitafunio pendwa? Utakuta hadi kiazi nayo...
1 Reactions
8 Replies
179 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…