Natafuta Mganga wa Mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Mganga wa Mapenzi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kongosho, Jun 26, 2012.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  jamani kama kuna waganga wa kusafisha nyota ya mapenzi au kumpata unayemtaka basi wanaweza fanya na vice verse, yaani kumfukuza usiyemtaka.

  Nimependwa na babu jinga afu haelewi, nioge dawa gani asinione??

  Ananifuata kama mkia, ananijaza shombo tu mie(najua moyo hauna macho) ila kuna 'type' zikianza kukufuata jua ushafulia.

  Kajaa kila mahali ofisini kwangu, njiani, mitaani hawezi tu kuja nyumbani kwangu.

  Bishanga msaada tafadhali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  yule wa nungwi hafai tena?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  si huyo, huyu ananisarandia tu
  nshamwambia staki hasikii hanipi pumzi
  nimeblock nos zake zote na mails sasa ananifuata manywali

  nimechoka naona sasa ntakomiti mada bure.

  Bora mmielekeze mganga wa kumfukuza
   
 4. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tawile,ngoja n pandishe Majini yangu ndio nisikilize shida zako ni sauti ya Mganga anayeishi karibu na Mtaani kwetu ni PM kuelekeze anapo patikana.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  he he he, yule wa pale jirani kwenu ni feki.

  Mie nataka wa Sumbawanga wanaojua kabisa.

   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hahaahhh Kongosho umepewa bure toa bure....

  Vibaya hivyo kitu unacho kumnyima mwenzio .....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kaweka Bango karibu na kwake kwamba katoka KIGOMA,hivyo achana na Waganga toka Sumbawanga.
  Kama vipi Karibu Mtaani kwetu.


   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  naowataka akyanani nawapaga bure
  asa kama sitaki aniache lol

  una mganga wako wapi?

  Maana siku hizi baadhi ya akina dada wana family wagangas kama vile kampuni kuwa la lawyer

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  afu wee kunitania kwenye mambo siriaz ujue sipendi?

  Hebu nipe namba yako nikunyanyulie waya mie.

   
 10. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Unaomba namba ya Gari au ya Bajaj.tiririka unataka namba zipi?

   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hivi bajaj nayo ina namba?
  Wee kwa jina tu najua msukuma, hujauza ng'ombe wewe hadi unawaza namba za bajaj?

  Mie nataka namba ya simu bwana, yangu inaishia 727, ukina usisite kupokea.

   
 12. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  NimekuPM,Kubip akutakiwi.

   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sitabip, ntakudip tu

   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Unaowakataa wawaanika!
  Wanaofanikiwa hutwambii !
  Imekaaje hii ?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hata naokubali nimewaanika

  nina mabwana 2 singo, wamme za watu 3 na kiserengeti 1.

  Afu elewa nlowakubali hawajanitatiza ndo maana sijaja kupata ushauri, sijamwagwa, sijanyimwa udora, niwalalamikie nini?

  Think Judge Think

   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  Uliyataka mwenyewe. wengine mbona hauwasemi.
   
 17. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mfanyie tu maombi atatoweka mwenyewe huyo.....mtafute erick52,level,asprin wanajua sana kuombea
   
 18. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,320
  Likes Received: 2,299
  Trophy Points: 280
  Pepo la kukataliwa linakusumbua..sijaona mtu anaitupa bahati yake hivihivi. Lakini njoo kwangu, ukilala siku moja hiyo nuksi yake hupati hata wa kukutukana barabarani
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hahahahaaaaaa mlingotiniiiiiiiiii
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sasa Pancrease hii cocktail (changanya marumba) unai'handle vipi ?
  Huoni unaweza kum'mix Dereva na Kondawe ? Au headmaster na deputy wake ?
   
Loading...