Habari za asubuhi!
Nina mwanangu wa miaka miwili kasoro miezi, jana asubuhi (ijumaa) niliamka asubuhi na mapema na kuanza kufagia banda la kuku. Kumbe na yeye aliamka muda huo huo na kuja kukaa...
Kufanana kwa Rais Marais wote wa zamani wa Merika wamefungwa maisha yote, lakini kufanana kati ya marais wawili wa zamani huenda zaidi ya kawaida.
Kuwa na umewahi kusikia kuhusu kitendawili cha...
Habarini ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele na kunilinda na mabaya...
Siku moja nilimtembelea rafiki yangu aliye kipofu. Kwa sababu ilikuwa usiku alifanya kitu kilichonifundisha sana. Nilipoingia ndani, Moses aliwasha taa. Nikamuuliza, Moses, kwa nini umewasha taa...
Hivi huku wote ni matajiri au? Kwasabu Mimi kilanikileta mada zangu za laki mbili, tatu, Watu wananikejeli.
Isije kuwa nimevamia chaka la maboss tu, Wanaohitaji nyuzi zinazo husu bilioni kadhaa.
Ni huyu jirani yangu mama Sikujua hapa Kwamtogole. Alikwenda kwa mganga ili kumuweka sawa baba Sikujua asifurukute. Maganga alimpa mama Sikujua dawa ya kuweka kwenye maji ya kuoga.
Siku ya...
Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place
Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
1.Utosini hadi Unyayoni.
2.Kichwani hadi kabla ya Matiti.
3. Matiti hadi Chini ya Kiuno.
4.Chini ya kiuno hadi Unyayoni.
Mwenye picha Anisaidie mi sio mchoraji.
Mi kwakweli Jamani nisiwe muongo...
Za muda huu folks
Nipo hapa TipTop kupata japo bia mbili tatu na weekend hii, sio mbaya wadau walio karibu na hapa tukionana. Hata walio ndani sio mbaya.
Lengo ni kufurahi na kupeana mawazo ya...
Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka. Tunaonana kwa ajili ya kufurahi, kubadilishana mawazo, kubadilisha mazingira, kupeana michongo na vingine vingi...
juzi nilikuwa nimeji hanganya mtaani,katika pitapita za hapa na pale,nikakutana na hii kitu, eti inasemwa kuwa wanawake wenye vinyweleo vingi mwilini (NI rahisi kuwatambua utawaona kwa kuangalia...
Jana nilibahatika kukaa home sikua poa kiafya....mida ya jioni hivi nikasikia jamaa na mke wake wanalumbana..(nahic jamaa alifumwa na meseji)...!!sasa imefika kama saa 2 naenda toilet namkuta...
Chukua tano , ting tang gijiiii, watu Kati
Oya Jafe....unamuona maza anavyopendezaaaa??
Maza anaupiga mwingi au sio!!!!!???
Haikatai Haikatoksi
#Ccm hatuboi/Hatupoi
Ila for My opinion is that the answer to this question depends on the culture of those questioned.
.
If U have a culture where one man can marry up to 7 wives then u have a total of 49 (parents)...