JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yaani siku hizi bwana wanawake wamekuwa kama wanaume na wanaume wamekuwa kama wanawake Yaani wanawake wa siku hizi bwana wanajiamini kuliko hata wanaume wa Dar. Unafikiri ukimpa mimba ndo...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mzuka Wanajamvi! Kuna msitu hapa ukivuka reli, nikaamua niende kutembea usiku huu kuzuga. Pupwe likawa linapuliza kichizi, na pia kwa wakati kama huu unajinyoosha vichakani huku unavuta mjani...
2 Reactions
3 Replies
515 Views
Wana-JF wa Arusha, Wababa :Enda-Subhai! Wamama :Endakwenya! Wote :Subhati Ngerai, habari-ya-Ngaji?..Engai Engoitoi!...poleni sana! Wapendwa, Nia yangu si ubaguzi wa Makabila au maeneo, lakini kama...
3 Reactions
630 Replies
44K Views
Ucheshi kidogo, baadhi ya majina ya kipekee Jamiiforum 1. Kichwa kichafu 2.mpwayungu 3. Wa stendi 4. Bujbuji 5. Prakatatumba 6. To yeye Hayo majina ya ukoo au?
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimechoshwa na tabia wanadada wenye midomo isiyo na marinda. Kama umelewa usitukane, Kwa sababu hata gemu haliwezi kunoga
2 Reactions
14 Replies
720 Views
Hakuna aliye mkamilifu hapa chini ya jua! Hivyo binadamu wote tu wadhaifu. Vitabu vya dini vunatuhasa kusamehe saba mara sabini ili mioyo yetu isiwe na kinyongo tena Huu ni uzi maalumu kwa ajili...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Zifuatazo ni dalili za mwanaume shoga. 1.Anapenda kuvaa heleni 2.Anapenda kujichubua Ukijiona unapenda moja au mawili hapo juu jua unakoilekea ni ushogani. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
45 Replies
19K Views
Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je wangetembea nusu uchi??
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Fanya ujeuri, ubabe, ukorofi, ukatili, ukandamizaji, uonevu, dhuluma, wizi, ushirikina, uzinifu, ukahaba, majivuno, majigambo, dharau, kujiona bora, kujivuna n.k n.k Kumbuka kiboko ya yote hayo ni...
1 Reactions
5 Replies
543 Views
Kwa wakati ambao nimefikia naona ni bora ni jaribu pia upande wa pili kutafuta kizizi na mimi maana sio kwa gundu hili. Mimi wa kukataliwa na shetani kabisa Yaani hii ni hatari, msomaji kuna...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Usishiriki mipango yako na mtu yeyote. 2. Usizungumze kuhusu taarifa za ndani za maisha yako. 3. Usizungumze kamwe kuhusu matatizo ya familia yako. 4. Usizungumze kamwe jinsi ulivyo shujaa...
14 Reactions
24 Replies
3K Views
huyu mwamba anapenda sana kugonga likes za kutosha humu bila kinyongo, mkuu mkwepu jr hebu gonga like kwanza tuendelee kutambua uwepo wako
6 Reactions
6 Replies
660 Views
Nawakimbusha sana katika maisha yako panda mbegu ya upendo maana hujui kesho yako. Usije jifanya Mungu mtu kwa leo halafu kesho yako ikiwa mbaya ukashindwa hata pa kukimbilia. tusijisahau sana.
2 Reactions
2 Replies
636 Views
Kwa chuki iliyo dhahiri kwa CCM kutokea kwa wananchi wa maeneo niliyoyataja hapo juu hakika ni wazi CCM haina chake. Tunduma kwa mfano, ukiitaja CCM na Rais wake kwa wema jiandae kutukanwa ama...
5 Reactions
13 Replies
597 Views
Ungepewa nafasi ya kusoma ngazi ya elimu inayofata katika elimu yako ungesoma nini na kwa nini?
2 Reactions
13 Replies
824 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kuwa ngedere, yaani anabadilika kabisa huwezi amin. Yaani nataman hata kumpeleka...
24 Reactions
50 Replies
3K Views
Nilipokuwa mdogo nilijua duka likifungwa mtu anashusha vitu vyote kwenye shelves anaweka chini. Nilipokuwa mdogo nilijua TV ikiwa inaongea ikatokea umeme umekatika inaendelea palepale ilipoishia...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Ni kichaa tu atakataa! ccm imechukuwa nchi kutoka kwa mkoloni, vitu vyote kuanzia miundombinu, maflyover,mifumo ya umeme, mashule mahospitali, zahanati na madawa, mabohari, mibarabara nchi nzima...
0 Reactions
9 Replies
577 Views
Back
Top Bottom