Dawa za mapenzi watoazo waganga wa jadi na nanuwio yake

mwl. mziray

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
597
398
Salamu kwenu ndg wanaJF,

Leo nimeona niwashirikishe baadhi ya dawa za mapenzi wanazozitoa waganga wa kienyeji ili manzi flani akukubalie kinapenzi.

Utafiti huu niliufanya kwa mtaalam flani.Mteja alipomaliza kujieleza, mtaalam alijifunika kitambaa chekundu na kuanza kupiga chafya za hapa na pale kisha sauti ikabadilika (waliokuwa wakiongea ni waalimu na sio yeye tena) baada ya hapo akamaliza kusema yake akaanza kucheua na chafya za hapa na pale waalimu wakaondoka na kurud katika hali yake ya kawaida ambapo alimuuliza walimu wamesemaje kuhusiana na tatizo husika.

Baada ya kumweleza akafungua makopo yake na kutoa dawa zifuatazo ambazo zote huchomwa na kunuwiwa kama ifuatavyo:

1. MLIPU wakati wa kuichoma dawa hii unasema "Mlipu, ulipue moyo wa .... upate shauku ya kuwa nami wakati wote. Aniwaze, anipende na kunijali pasipo shaka yeyote.

2. MVUMO Unapoichoma dawa hii unasema "Mvumo, nifanye nivume na ... katika wimbi la mapenzi. Popote alipo aisikie sauti yangu, awaze juu yangu na niitawale akili yake aniwaze mimi tu.

3. M'BARIKIWA Unapoichoma dawa hii unasema "M'barikiwa, nibarikiwe katika mambo yangu yote na adhima yangu juu ya ... anipende na nidumu nae katika mahusiano, nipate kila nitakacho kutoka kwake.

Tifauti na dawa hizo mtaalamu anaweza kukwambia umpelekee nguo yeyote ya bibti huyo, hata kipande kidogo tu cha nguo ili amfanyie dawa akupende bila kikomo.

Pia zipo dawa za kuweka mdomoni wakati ukizungumza nae.

Katika kufarakanisha wapenzi au ndugu utaagizwa yai viza ambalo litafanyiwa madawa na utapolipasua mpenx wako hatotamani kukuona wala kukusikia katika maisha yake.

Tukumbushe dawa nyingine uliyowahi kuisikia.
 
Inahitaji roho ya pekee kuyaamini haya matibabu maana huenda imani yako ndo ikafanya kazi na sio yale madawa unayoyachoma.
 
Nahitaji dawa hii
 
hahahahahaha yaan unamtengeneza mtu akupende siku akinuna tu mbio kwa mtalamu kuuliza namna ya ku renew unakuwa mtumwa wa mtalaam kiboya boya
 
Tangazo limekaa utamu sana mkuu
Ngoja vijana wa Dar waje PM
 
Back
Top Bottom