brainstorm007
Member
- Feb 11, 2022
- 61
- 68
Je, kama ukipata mchongo wa kazi utampa mchumba wako au rafiki yako wa karibu, na kwa nini?
Kuna maana ya kuuliza ndo maana swali lipo hapo.Pata mchongo kwanza, halafu uje uulize tena hili swali...