JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo ni mkesha wa Sikukuu ya Noeli kwa Wakristo wote Ulimwenguni kusherehekea kuzaliwa kwa bwana Yesu Kristu. Nami nichukue nafasi hii kuwatakieni nyote Noeli njema!
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Napenda kukumbushana na wana jf kwa wale walopita kigonsera nini unacho kimisi walimu gani unao wakumbukaa Nikianza na mm nilikua pale 1991/1994 Twiga house. Nammiss sana Papalika Mlasu...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Hell Wana jf mpka dakika hii sijapokea mualiko wowote wa sikukuu kutoka humu ina maana wote humu jf hakuna anae nikubali ata kwa asilimia kumi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ata wewe Mwana...
0 Reactions
16 Replies
649 Views
Cheti cha ndoa unapewa ijalishi umesoma,umefaulu wala nini ! kesi za wanandoa zimekuwa nyingi sana. watu wanapoingia kwenye ndoa makucha yao uwanza kujionesha,tabia na kila mmoja kutaka akubari...
1 Reactions
2 Replies
342 Views
Mimi kesho nasafiri kwenda Zanzibar na Mchepuko Wangu. Kurudi Dar ni Mpaka Tarehe 30.
0 Reactions
58 Replies
3K Views
cute love, To yeye, Miss Natafuta, Evelyn Salt, Flowerpot Ndindwa hivi hii imeshawahi kuwatokea? Je ni kwa uwezo wako binafsi, uwezo wa mshughulikaji au ni sababu ya kabila lako?
5 Reactions
111 Replies
5K Views
Bado nini hapo?
1 Reactions
4 Replies
372 Views
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule...
18 Reactions
102 Replies
4K Views
I still remember the first day u replied my Pm was the day I realized how important your in my Life. You became the true definition of the Friendship. Moving closer to you made me realize that...
26 Reactions
811 Replies
38K Views
Watu wajf mseme mtu vizuri na mpe like yake. Mie ninao wengi nawapa team yote ya JamiiForums heri ya mwaka mpya kuanzia director, manager na wafanyakazi wote wa JF. ERoni , Glenn DeepPond...
14 Reactions
239 Replies
6K Views
STL
Nimeikuta sehemu. Imekaaje hii wadau?
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Nina wazazi wawili Bibi mmoja(Grand-mother) sina mke Wala mtoto Je nikiamua sikukuu hii ipite kimya kimya na Baada ya hapo kitanipata Nini?
1 Reactions
8 Replies
687 Views
Wadau vipi ka salary ka mwezi huu wa pesa hazitoshi. Wenzangu mmekaona? Tuambizane maana hapa nina buku tu la bodaboda kunipeleka kwa ATM. Nikizikoswa ndo yatakuwa majanga zaidi. Kwa walio na...
4 Reactions
86 Replies
10K Views
Nafanya kazi vijijin uko ndanindani somewhere in Tanzania, kwakweli ni sehemu ambayo hamna cha kuenjoy zaidi ya filamu na mpira tu nikitoka kazini. Nafikiria likizo hii ya siku 10 ya mwisho wa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Ni wimbo gani unahisi unafunga mwaka 2022 vizuri.. Majukwaa yote Matusi au kejeri au dhihaka haziruhusiwi twendeeeeeee ENTERTAINMENT mshindi ni comment ya mwisho au itakayokuwa na maombi...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Habari Zenu Ndugu Zangu wana JF Natumai Wazima wa Afya
1 Reactions
2 Replies
380 Views
Na selelereka nayo Mimi sijawahi fika Kigoma na sina mpango wa kufika pia sijawahi fika Tabora na sina mpango wa kufika. Najutia sana kufika Arusha maana ni mkoa choka mbaya kishenzi, nilitupa...
8 Reactions
218 Replies
13K Views
Marafiki na wengine wote, Xmas njema, nawatakia na heri ya mwaka hadi siku zijazo, tuombe uzima. Merry Xmas and Happy New Year guys.
2 Reactions
11 Replies
800 Views
Sio lazima utaje kazi au shughuli yako. Ila mimi binafsi nawashukuru wakazi wa jiji la mbeya maana ndipo nilipotokea kimaisha baada ya kupuyanga na kuchochola saaaaaaana. Salute kwà mbeya na Wana...
2 Reactions
8 Replies
668 Views
Back
Top Bottom