JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kila mtu huwa anaota na inawezekana kuna wakati mtu unaeza pitisha siku kadhaa hujaota, unalala muda fulani na kushangaa paap, ushaamka. Sema sasa kwa kweli kuna ndoto zingine ni uongo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Eti kwani hatuwezi kabisa kuzingatia muda? Nini kifanyike? Au mpaka rais aingilie kati ndipo tubadilike? Karibuni. Uzi tayari.
2 Reactions
8 Replies
543 Views
Gone are the days I used to hit the bottle like you. My untold addiction hardly made me push through. Been through sleepless nights and restless days, with nothing to do. Painful mockery from...
2 Reactions
1 Replies
470 Views
Je, haya maneno yanareflect uhalisia wa maneno yanayosemwa huko mtaani?
1 Reactions
3 Replies
613 Views
JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni. Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho...
23 Reactions
83 Replies
3K Views
Heeeeeeeh Kila nafaka imepanda bei, sukari imepanda bei. Mnataka mtuue pole pole? Sia afadhali mtunyonge. Ndiyo. Afadhali mtunyonge tujue moja.
1 Reactions
2 Replies
414 Views
Si ni life.. Nyakati kama hizi wapo wanaelekea kulala au wamelala tayari.. Wengine wamelala kama panga, Wengine wapo na wapenzi wao wanapasha vitanda joto. Wengine baridi inagonga kama...
1 Reactions
7 Replies
515 Views
Hahahaaa mwenzenu si nikatajwa Kwa midoido yote na vouda kujipendekeza huko wakajibetua Kuniwishi Birthday eti Fulani bini Mwanzenzele Rugaimukamu we wish you a happy birthday ndio ntahamaki...
1 Reactions
1 Replies
416 Views
Don't forget the destitute
0 Reactions
0 Replies
264 Views
1. Never shake a man’s hand sitting down. 2. Don’t enter a pool by the stairs. 3. The man at the BBQ Grill is the closest thing to a king. 4. In a negotiation, never make the first offer. 5...
3 Reactions
2 Replies
714 Views
Habari za jioni bandugu ? Ukiwa unaelekea maghettoni/nyumbani/ kwa shemeji au popote pale kwa ajili ya kuupumzisha mwili baada ya shughuli za leo nataka uniambie ni mzaha sio mzaha? Kwa utaani...
0 Reactions
5 Replies
498 Views
Usipende kuharibu maisha ya watu.usipende kumfanyia mtu kibaya ila niliweka kando maumivu na mateso uliyonipa kwenye utafutaji. Labda bila wewe nisingekuwa hapa au bila wewe ilikuwa kusudi kwa...
0 Reactions
14 Replies
954 Views
Habari za wakati huu, mimi ni mtu mzima, leo kwa mara ya kwanza kabisa nimeota nimefungwa jela miaka 30 kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi[emoji848] huyo mwanafunzi mwenyewe hata simkumbuki...
1 Reactions
9 Replies
596 Views
Habari wana Familia. Naomba kufahamiana na watu wanaoishi Wilaya ya Bukombe hasa Ushirombo Mjini.
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Habari za wakati huu, Jamani kuna unene mwingne unatuweka katika wakati mgumu sana aise! Juzi kati hapa kaja jamaa fulani kununua nguo, mnene kwelikweli. Basi nguo alizohitaji, hakupata size...
5 Reactions
58 Replies
2K Views
Niende moja kwa moja. Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi. Wakuu hembu tuone maana Nina experience mbaya. 1. Aisha. Katika utukufunwake mtume S.A.W Jina Aisha Lina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kulingana na msimu huu wa sikukuu naomba nitoe zawadi Kwa dada's Sasa Kwa heshima naomba aliyekaribu na bwana maulidi kitenge amwambie huyu Dada aliyenaye karibu naomba namna zake asanteni
0 Reactions
6 Replies
663 Views
Urevuka! Yaani ni aibu sana unafanya matukio, unafanya ujinga mtaani na kwa jamii kisha kutoka nje unaona aibu. Ni upuuzi Sana. Jamaniee wakati fulani unafanya upuuzi then unaogopa kutembea...
1 Reactions
3 Replies
411 Views
Back
Top Bottom