Wanawake wa kizazi hiki ni jasiri sana

proton pump

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
5,379
6,924
Kama mada inavyojieleza hapo juu Kuna Mambo tunayaona, Kipindi cha nyuma hapo miaka ya 2000 kurudi huko Karne ya 20 si rahisi ukute mwanamke ameanika chupi nje lakini siku hizi ni kawaida Sana.

Kutembea na bukta, boxer, na tight hata chupi kwa waliovurugwa ni kawaida Sana.

Kutovaa nguo ya ndani halafu ameachia mapaja, na mbususu inaonekana kawaida kwa baadhi Wala hawawazi. Kutoa matusi makubwa makubwa siku wapo vizuri.

Kasichana kadogo kanajua Mambo ya kikubwa balaa vingine huwezi kuamini ndio vinavyotuambukiza kaswende na gono hata kama unakatongoza hakaogopi.

Kufanya kazi zilizoeleka za wanaume kama kupiga zege, ukonda wa daladala.

Kupiga waume zao kawaida tu ila baadhi ya wanaume tena wasiojielewa. Kunywa pombe tena Kali kama KVant.

Kutongoza wanaume kitu ambacho kilikua rare Sana hapo Karne ya 20 mwanaume unaweza kutongozwa hadi ukaingia laini.

Kasichana kadogo kutembea na wazee kawaida tu tatizo vijana hawana hela na magari.

Kujiuza wazi mtaani unaitiwa mbususu kiulaini, unaweza sikia kaka njoo ya kwangu Haina maji ni kavu.

NB ni baadhi ya wanawake sio wote.
 
Wanawake siku hizi wanachomekea mat*ko wanayabana ili yaonekane.

Hiyo tisa, kumi hivi wale wanaume wanaovaa vibukta vidogodogo vinavyobana hua wana maana gani?
 
Back
Top Bottom