JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Amri iliyo kuu ni UPENDO! Basi tupendane.. Leo nimekaa nikitafakari kwa kina kuhusu jukwaa letu. Mara nyingi tunakutana humu kuchangamsha akili, kubishana, na wakati mwingine kupeana changamoto...
59 Reactions
213 Replies
1K Views
Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa. Wewe...
6 Reactions
25 Replies
200 Views
1. The couple PFP Ni profile picture ya wapenzi wawili wakikumbatiana, wakishikana mikono (soul tie). Hawa ndio wale Wanajionaga "Wamiliki wa Hati Miliki za Mapenzi"! 😅 Tafsiri ya Picha Jinsi...
1 Reactions
10 Replies
217 Views
hivi unyama wetu walevi wapendwa tunaishushia wapi.mimi nipo night club nashusha tu vitu hapa.je nyie walevi wenzangu mnashushia wapi?
0 Reactions
4 Replies
20 Views
Nimeamua kuja hapa Las Vegas kwa ajili ya mapumziko ya wiki moja lakinaishi nayohitaji kuishi hapa naona kwa hela hii niliyonayo sitoboi wiki Nilikuwa nimeandaa bajet ya dollar 1 million kwa...
8 Reactions
42 Replies
386 Views
Guys, Guys, Guys Sijui mnanisikiaaaaaaa hebu sogeeni karibu niwape huu mchapo.....🙌🏻 Mayatima wa mapenzi mje mjifariji kidogo hapa, Baada ya kumaliza mihangaiko yangu kwenye mji wa watu...
23 Reactions
300 Replies
5K Views
Usikae kinyonge Usisononeke. Maisha bado yapo na siku hazigandi. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho Pita hapa uone pia shuhuda za wengine Changamoto...
31 Reactions
433 Replies
39K Views
8 Reactions
195 Replies
2K Views
Mwenye picha yake aiweke hapa tafadhari..!!
5 Reactions
20 Replies
340 Views
Unajisikiaje kutumia jina lile lile ulilopewa na wazazi wako toka udogoni mpaka unakufa nalo? Kama tunaweza kuongeza thamani ya viwanja vyetu, mashamba, majengo n.k, ni muhimu pia kuongeza...
6 Reactions
81 Replies
344 Views
Hapa naongelea yule ambaye hata mpango hana anasubiri kuwa mama wa nyumbani,unaweza kudate mwanamke mwenye mindset hiyo?
14 Reactions
185 Replies
1K Views
Alikuwa akiamini kuwa mapenzi ya dhati ni kama pepo ndogo ya siri tunayoijenga hapa duniani, zawadi adhimu tunayopeana faragha na ambayo haitapatikana mbinguni. Alimwamini mpenzi wake na...
10 Reactions
38 Replies
330 Views
Sio huo uliouwaza ni utelezi wa tope..! Sio tope hilo ulilowaza ni tope la udongo wa mfinyanzi😂 Na sio huyo mfinyangaji uliyemuwaza.. https://www.facebook.com/share/r/1DscYuiS6o/
2 Reactions
3 Replies
70 Views
Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo Kikwazo cha...
10 Reactions
217 Replies
11K Views
Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito. 1. Ana sumu inayoweza...
19 Reactions
208 Replies
12K Views
Zamani tulizoea kusikia habari za misukule kule vijijini ambapo mtu anafanywa msukule wa kimwili, anazikwa kisha anaenda kulimishwa mashamba usiku. Siku hizi ulimwengu wa giza umeweka kambi...
9 Reactions
71 Replies
680 Views
Jibu kwa ufahamu ama uzoefu wako tuu.. Hakuna kutumia AI
11 Reactions
77 Replies
539 Views
MLianza na 20, 30, ikaja 50, ikaja 80, sasa hivi 100k Laki moja imekuwa sasa kama trend. Tena hamjali hata hali ya mtu kisa tu ni rafiki au ndugu Hivi haya yootee ya nini, jamani, Si mchukuane...
7 Reactions
20 Replies
217 Views
It was a scene straight out of Wakaliwood. During a surprise inspection by Hoima District Chairperson Uthuman Mugisha Kadiri at Kabaale Public Primary School, a stand-in teacher dramatically fled...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Salaam,hii ni orodha ya waongo nguli duniani. 1.Mo dewji 2.Viongozi wote wa Simba 3.Wanasiasa 4.Wasichana waliozaliwa kuanzia 2005 5.Madalali. Nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
49 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…