JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tuliopo kwenye ndoa! Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hellow African Kuna watu humu mmenipa jina la super mario kila nako pita huku naitwa super mario futeni ilo jina wachumba wananikimbia kisa wana mmenipa jina la super mario
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Kwa namna moja ama nyingine, kuna baadhi ya mahitaji yanatuwia ugumu kutamka kwa muuzaji mbele ya wateja wengine Ukimuona mteja anakupisha uhudumiwe kwanza wewe, usidhani nia yake ni kukopa...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Suppose someone sends you a lengthy message in capital letters, how will you respond/react to it? Binafsi huwa nachukia sana kuona mtu amenitumia ujumbe kwa herufi kubwa. Yaani hiyo ni sawa sawa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuhangaika na mwanamke mwezio. Mwanamke...
11 Reactions
118 Replies
4K Views
Hellow african Ivi kwanini sisi malast born tuna anzaga kufa sisi na sio watoto wa kwaza kuzaliwa au wakatikati? Nimewaza sipati jibu
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Hizi radi aisee ni balaa. Nmeikaribisha weekend na mtoto mkali ila usiku ukawa mrefu mno kidogo tuache doggy tupige magoti kuanza kusali. Yaani ngoma zinapigia dirishani hadi mashine ikasinyaa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Sitaisahau elnino ya mwaka tajwa hapo juu, mvua zilikuwa kubwa sana kule maeneo ya Mbeya bila kujua nikaingia kwenye mtego wa chatu, alinidondosha. Pona yangu sikuamka, na ukilala chali chatu...
67 Reactions
243 Replies
30K Views
Malawi haijawahi kupatwa na majanga makubwa ya kipindipindu na vimbunga ambavyo vinaleta maafa makubwa. Lakini jamaa alivyopelekwa tu kutuwakilisha vikatokea. Sasa ni zamu ya Cuba wamepelekewa...
1 Reactions
2 Replies
392 Views
Wanajamii naombeni mnijuze kazi ya kokote kwenye reli, najiuliza sipati jibu
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Hodi humu japo nimeshaingia tayari, naomba mnipokee Bantu lady hapa. Najiunga nanyi wana chit-chat. Natanguliza shukurani.
5 Reactions
83 Replies
5K Views
Yale mashindano ya kumtafuta Miss Chitchat 2012 ndio hayo yameanza rasmi. Pasipo kupoteza muda wako, hakikisha kura yako inaenda kwa charminglady WanaJF marafiki wa familia ya watu8 na...
4 Reactions
88 Replies
6K Views
Starehe gani unaifanya ukiwa peke yako na unaifurahia?✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
1 Reactions
9 Replies
874 Views
There is an intense rivalry among women for the best men.
1 Reactions
6 Replies
378 Views
Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake. Hata kama hana kazi alishakuibia? Alishakuja kukuomba bia? Alishakuja kukuomba chakula? Balimi buku jero...
1 Reactions
4 Replies
616 Views
Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
6 Reactions
182 Replies
9K Views
Inasemekana gari ni la IT. IT wazee wa mwendo wenu tunaujua. Any way poleni. Mshana Jr Extrovert RRONDO Ova
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimepata verification badge leo Tujuane verified members
5 Reactions
11 Replies
591 Views
Una maisha magumu kama mfupa lakini huchoki kuhonga kwanini?
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Wasalaam wana JF Unakuta mwanaume alikuwa na mke na wanaishi pamoja pika pakua. Ikatokea kuhitilafiana na wakachukua maamuzi ya kutalikiana kila mtu aende kumi zake. Baada ya kila mmoja kusukuma...
2 Reactions
66 Replies
2K Views
Back
Top Bottom