JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
0 Reactions
26 Replies
2K Views
WAGWAN RASTA,maninja wote ambao tunatumia ile kitu asili mmea,tukutane hapa.tupeane michapo ya weed,habari za weed,utani wa weed na vitu ka hizo u know.hakuna kitu kama weed na hapa...
22 Reactions
365 Replies
29K Views
Hawa jamaa wananichekesha sana humu JF fuatilia comments zao halafu utaelewa namaanisha nini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za wikiend wandugu,,,,, Niende Moja kwa Moja kwenye mada Mimi nikienda bar Huwa naenda kukaa viti vya juu pale kwa muhudumu huku nikiendelea kufyonza mvinyo taratibu sana Share experience...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Mikopo tumekopa sawa,ni kipi cha maana kimefanywa na hiyo mikopo? Hilo ni swali, nahitaji majibu
2 Reactions
18 Replies
804 Views
Tunapokuwa wadogo kuna mambo mengi tunadanganywa na kuamini kuhusu watu wazima. Lakini miaka inavyoenda tunagundua uongo mwingi sana. Uliamini nini na ukashangaa hakuna ukweli wowote. 1. Niamini...
1 Reactions
6 Replies
617 Views
Nawatakia Heri ya Sikukuu ya Pasaka Ndugu Zangu Wakristo.
4 Reactions
11 Replies
646 Views
kwanini wanawake mnapodeki huwa mnafunga khanga, hata kwa wale ambao hamna mazoea kabisa ya kujifunga khanga? Nahitaji majibu sio maelezo.
2 Reactions
13 Replies
678 Views
Inawezekanaje kua Kwaresma na Ramadhani vimekutana lakini maeneo ya starehe mambo yako kama kawaida, hii inaleta tafsiri gani?
0 Reactions
5 Replies
611 Views
Hivi ni lazima, mtu ukiwa na imani yako si inatosha?
1 Reactions
17 Replies
620 Views
Hellow Rafiki zangu wapendwa wangu niliwamic sana nilipewa ban nimefunguliwa leo nikaribisheni upya nipe story kwa ufupi kipindi sipo kilitokea nini? Nina furaha leo sana
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Jaribu hilo zoezi utagundua kitu. Sijui Kuna kauchawi gani!
0 Reactions
7 Replies
488 Views
Miongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo. Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku. Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu...
10 Reactions
91 Replies
5K Views
Kama utoi sadaka hauzikwi? Kweli nyumba za ibada ni kuzikana, Imani yako ndio itakayokuponya!
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Waruka na ungo usiku mnafeli wapi? Kwanini ungo usitumike mchana na sio usiku kwanini umsiungane ukafanye sayansi yenu ikawe bora maana sayansi yenu bado ni duni means bado haina maboresho...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndoto yangu ilikuwa nifikishe likes 1,000 kabla ya Pasaka ya mwaka 2023, hatimae leo nimefikia. Pongezi nyingi kwangu, sasa hii pasaka nitakula vizuri sababu nimetimiza lengo langu kuu hapa JF...
16 Reactions
45 Replies
2K Views
Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary. Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK...
32 Reactions
117 Replies
7K Views
  • Closed
Za usiku wapendwa Nimegundua humu ndani watu hawana uvumilivu kabisa hususani na hizi ban zinazoendelea😄 Antonnia kapigwa ban hata sijategemea
29 Reactions
539 Replies
30K Views
Jf member wote nawatakia kheri ya sikukuuu ya pasaka karibu nyumbani ila ukija uje na nauli yako na hela ya soda Nawatakia watu wangu wa nguvu kheri na furaha tele Punguani Gily mrembo Lenie...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Back
Top Bottom