Pole sana wasomi wa JF, wasomi uchwara, wazee wakukaza mafuvu, endelea kusubiri ajira.
Umesoma ili ukomboe jamii ila leo unategemea jamii ikukomboe 🤔.
Bora kukosa elimu ukawe na akili, kuliko...
Wasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae...
Kiukweli daah kunaa watu wana bahati sana hapa duniani
Nimekua nikisaka mitandaoni nipate japo rafiki tu wakishua atleast tukipiga story tuki flirt nijue na flirt na mtu wa next level naamini ilo...
Hivi inakuwaje mpenzi wako anakupa hela tena 10k na anakudai? As if ulimwambia akuazime?
Na maneno juu ya karaha [emoji4]kweli tukue tuyaone. Nyie mtutunze tu msipate makasiriko.
Nakumbuka nilipokuwa mdogo, babu yetu alikuwa na utaratibu wa kuwakusanya wajukuu zake wote, na kuwasimulia hadithi mbalimbali; na masimulizi hayo yalikuwa yakifanyika huku tukiwa tunaota moto...
Huyu jamaa Tania yake ni kufungulia habari za manabii tena kwa sauti kubwa baada ya kuwatazama wale wa mama pale mbele ya bucha yake niliwaona kabisa wakionyesha kukerwa na hayo makelele ya radio...
Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
Hi,
Tabia zako zinatosha kukuelezea wewe ni mtu wa aina gani. Imagine mgeni anafukuafukua msosi kama yuko mgodini kutafuta nyama, lengo lake ni nini au anataka wenyeji tule pilau kavu?
Binadamu...
Back in 1994, Gabriel met Christina at a party and they really hit it off. They ended up getting married even though she was 30 years younger than him. They were happily married for 20 years...
Ninayo picha yake na nilitamani niipakie hapa lakini kwa bahati mbaya sikupata idhini yake. Alikuwa na rangi ya Maji ya kunde hivi, Mzuri wa sura (ya duara) na macho makubwa meupe ya mviringo...
25. Get Your Tongue Outta My Mouth 'Cause I'm Kissing You Goodbye.
24. Her Teeth Was Stained, But Her Heart Were Pure.
23. How Can I Miss You If You Won't Go Away?
22. I Don't Know...
Ikifika saa 5 wote tuwe tumeshalogout, maana hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) cha mende (maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo cha kuchuma tembele.
Karibu useme ukweli wowote usiosemwa au mwambie mtu yoyote ukwel kumhusu
Naanza Mimi
Tanzania upinzania Bado hawajajipanga kupokea nchi, wakubwa wengi machawa wa chama tawala. Tuendelee kuiamin...
Hellow African
Kuna watu humu mmenipa jina la super mario kila nako pita huku naitwa super mario futeni ilo jina wachumba wananikimbia kisa wana mmenipa jina la super mario
Kwa namna moja ama nyingine, kuna baadhi ya mahitaji yanatuwia ugumu kutamka kwa muuzaji mbele ya wateja wengine
Ukimuona mteja anakupisha uhudumiwe kwanza wewe, usidhani nia yake ni kukopa...
Suppose someone sends you a lengthy message in capital letters, how will you respond/react to it?
Binafsi huwa nachukia sana kuona mtu amenitumia ujumbe kwa herufi kubwa. Yaani hiyo ni sawa sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.