JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimefika mkoa mmoja hapa kutoka Dar, sasa muhudumu wa basi nimetokea kumuelewa sana maana ni mrembo halafu mzigo mashaallah! Tulivyoshuka stand ya bus mida ya Saa 5 usiku nikajifanya mimi mgeni...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama. Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa nafasi hii ya upendeleo..Sifa,Shukrani na Utukufu ninakupa wewe uketie mahali Patakatifu..Amen Happy birthday 🎈🎊🎉🎁🎂 to me kwa mara nyingine tena. Happy...
42 Reactions
178 Replies
10K Views
Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando. Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali...
2 Reactions
15 Replies
944 Views
Asante Mungu kwa afya njema isiyo na mashaka.Ninawashukuru pia wazazi wangu kwa kila kitu na kila hatua ya malezi yao kwangu tangu nimezaliwa. Leo 22.01.2023 natimiza miaka 36.Ni jambo jema...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Glory is to God I am plus one today, I pray that the Lord increase me in success and inspiration so I can lead a better life than ever. Happy birthday to me. Zawadi napokea PM-pesa 😋💌
14 Reactions
411 Replies
20K Views
Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, nimegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa...
51 Reactions
141 Replies
9K Views
Nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.! Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na...
33 Reactions
716 Replies
37K Views
Kwanini sisi matajiri tunafanana saana Ukiona mimi utakuwa kama umeona Bill gate Ukiona Alon mask Utakuwa Kama umeona Mimi Yaani sura zetu zinafanana saana matajiri wote sura zetu zinafanana
1 Reactions
10 Replies
573 Views
Ninachukizwa na nawachukia watu wote wanaotumia tecno,infinix na itel yaani kwangu mie nawaona ni wahujumu uchumi wa nchi yetu yaani inakuaje mtu anatumia au watu wanatumia tecno,infinix au...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Wanaume wembamba kweli tunakazi yaani kutafta mpenzi huku unakamwili cha ukondefu utasota sanaa balaa nipale ukute unauwembamba wakurithi yaan unapiga mayai maziwa kiti moto lakin wapiii (dahh)...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ) Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo )...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
EID Mubarak Waislam wote popote mlipo. Ikawa sikukuu njema yenye amani, furaha na mafanikio ya kumpendeza Mungu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life. So lets say someone...
43 Reactions
2K Replies
60K Views
Kama kawa, Kama dawa
5 Reactions
154 Replies
7K Views
Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
14 Reactions
94 Replies
4K Views
90% ni ukweli😅😅
3 Reactions
4 Replies
452 Views
Mi naanza na IDD yetu, kivyetuvyetu
1 Reactions
14 Replies
995 Views
Hellow Africans, Mimi siyo mchoyo bhana, leo nataka nimtoe mtu out yeyote twende Wavuvi Kemp pale tukanyweee mpaka uchoke wewe. Muhimu uwe na vibe, usiwe mpolee kama msabato no, pale ni kwenda...
16 Reactions
77 Replies
4K Views
Herode Farao Pilato Nebucadreza Etc... Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........ Wasalaam 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
8 Reactions
168 Replies
7K Views
Back
Top Bottom