JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua...
1 Reactions
12 Replies
984 Views
Happy birthday to me
7 Reactions
19 Replies
959 Views
Nimekaa nikafikiria hili swala. Kuna majina fulani ya kiislam hayo hata aitwe nani basi utakuta ni binti mwenye tabia nzuri sana. Ila pia kuna yale majina ambayo menyewe tu yanamaanisha fujo...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Ulimwengu wa leo sio wa kuwa mpweke maana Dunia ni Kijiji, ulie single njoo tufarijiane.
3 Reactions
7 Replies
503 Views
Kwema Ndugu zangu? Nasikia nyayo ya mguu inawasha sana,.. Kama sitasafiri basi ntapinga mkwanja mrefu sana. Dah mpaka najitamani asee! "Oya, wanangu, tafuteni hela" Chief Godlove Quote...
1 Reactions
10 Replies
620 Views
Deleted
1 Reactions
7 Replies
621 Views
Naaam hili lizingatiwe kwa manufaaa ya Taifa tusije kutia aibu nyingine kwa kuwasha moto hovyo viwanjani.
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Mapenzi yana nguvu sana. Yule ninaye mopenda toka moyoni nimemtumia Heri ya Eid tangu Jana saa 2 usiku lakini wewe ambaye umejifaragua na kunitumia salaam imekula kwako. Unatumika tu kama ATM...
1 Reactions
19 Replies
787 Views
Wana FJ nataka kuoa lakin cjapata kazi bdo mnaniambiaje niingie hafu kitaeleweka humohumo!!.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu? Karibuni sana mnielimishe juu ya hili.
13 Reactions
260 Replies
12K Views
Katika pita pita yangu nilikutana na jamaa mmoja ambaye alipata hudhuriwa na Dada mmoja huko U es Of Ey---Siku ilikuwa nzuri na Stori za Bongo na hata za U es of Ey...Ikafika saa za kula, na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwenye miaka ya 80 kulikuwepo jambazi lililokuwa linaitwa Nyau. Mnalikumbuka hili jambazi? Sasa hivi liko wapi? NB: Sweetlady huwezi kulijua hili li Nyau. Wewe bado ulikuwa ka baby.
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Na shukuru Mungu mimi ni mzima wa afya sijui ninyi uko uko
1 Reactions
15 Replies
803 Views
Wakuu mimi sio Brand Ambassador wala sina interest yoyote na hii beer, isipokuwa tu naipa sifa kuu kwa vile ni one of the finest beer kwenye industry. Nimepitia Beer kadhaa hatimae nimeamua...
1 Reactions
6 Replies
951 Views
Kabla sijafika Zimbabwe niliaminishwa kuwa Zimbabwe ni nchi masikini sana, fedha yao haina thamani yoyote,unaenda kununua mkate kwa milioni 12....Mchicha milioni 6 , mayai tray moja milioni 30...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Nimefika mkoa mmoja hapa kutoka Dar, sasa muhudumu wa basi nimetokea kumuelewa sana maana ni mrembo halafu mzigo mashaallah! Tulivyoshuka stand ya bus mida ya Saa 5 usiku nikajifanya mimi mgeni...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama. Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa nafasi hii ya upendeleo..Sifa,Shukrani na Utukufu ninakupa wewe uketie mahali Patakatifu..Amen Happy birthday 🎈🎊🎉🎁🎂 to me kwa mara nyingine tena. Happy...
42 Reactions
178 Replies
10K Views
Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando. Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali...
2 Reactions
15 Replies
944 Views
Asante Mungu kwa afya njema isiyo na mashaka.Ninawashukuru pia wazazi wangu kwa kila kitu na kila hatua ya malezi yao kwangu tangu nimezaliwa. Leo 22.01.2023 natimiza miaka 36.Ni jambo jema...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Back
Top Bottom