Today is the start of something beautiful! You have been my closest and dearest person for a very long time, I have seen your best side and your worst. I have been through it all with you and for...
A. MIAKA 17-19
1. Teacher wa History
2. Mwal Tuition
3. Boda Shule
4. Mkaka wa Chips
5. Baba, mama etc
B. MIAKA 20-25
1. Baby, sweetheart, love
2. Namba NIDA
3. Mate Mzumbe
4. Lecturer Mashauri...
Habarini wakuu,
Kama title ilivyo clear, Kuna members fulani huwezi kuwakosa kwenye nyuzi fulani wanazozipendelea na mara nyingi utawaona kuchangia na au kuanzisha nyuzi zinazofanana na hizo,ila...
Hvi jamani imagine una rafiki ako mmekutana kwenye mitandao tu ya kijamiii ukawa mnaongea vizuri yeye ni me wewe ni mwanamke, then anaonyesha kama vile anakutaka na wewe upo single baadae mara...
Mshana jr - huyu ndio yule mganga Mkuu wa farao kabisa biblia haikumuacha mbali uganga wake wa mchongo ulimtokea puani mbele ya fimbo ya Mussa.
Bujibuji Nyanaume - huyu kwa kupenda papuchi ni...
Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega.
Namimi...
Usiache kufurahi leo. Leo ndiyo yote tuliyo nayo. Kesho ni ahadi.
Kama wimbo unavyoenda... "Jana imepita, na kesho inaweza isiwe yako."
Maandiko pia yanasema, "Furahini katika Bwana SIKU ZOTE"...
Kuwa na furaha ni uamuzi tu.
Hakuna kitakachokufurahisha hadi uchague mwenyewe kuwa na furaha.
Una furaha kwa kuwa umeamua kuwa na furaha. Usitegemee wengine kukufanya uwe na furaha...
Umeanka morning unataka kutoa pesa uliyotumiwa na babe unakuta muamala umerudishwa-- UMELIKALIA
Unataka demu lakini pesa huna -- UMELIKALIA
Unayedhani kuna mapenzi ya kweli -- UMELIKALIA...
Ndug zangu, msaada wa haraka kwenu juu ya hii ndogo nafahamu hapa kuna watu wabobezi wa mambo mbalibali, ndoto hiyo imenipa hofu sana.
Ndugu zangu naombeni maaana ya ndoto hiyo kama ndoto hiyo...
Kisokolonkwinyo ni binti wa miaka 21 huyu binti amezaliwa tu katika familia ya kipato cha kati, baada ya kuzunguuka huko nahuko katika mashule na chuo amefanikiwa kuhitimh Diploma ya Uhasibu...
Hatimaye nilitafakari swali la zamani: Je, kuzaa ni uchungu zaidi kuliko kupigwa teke kwenye korodani?. Wanawake daima hushikilia kwamba kuzaa ni uchungu zaidi kuliko mwanaume anayepigwa kwenye...
Njoo ujishaue kama upo hivi,
~ Mwanamke usiyeomba hela.
~ Njoo mwanamke unayependa na kula utakavyo kwa pesa yako bila kuhongwa wala kubegi mtu.
~ Njoo kama ni mwanamke anayefanya juhudi...
Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu.
Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mungu aliiumba dunia hapo zaman za kale, aliumba wanyama wakali kama simba na wajanja kama sungura, lakin...
Leo ni siku ya wafanyakazi Duniani.
Majobless inatuhusu pia kujua nini kinaendelea duniani. Kujua tu inatosha.
Sasa kwenye mada moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Haki au...