Jamani kweli siku hazigandi. Nakumbuka enzi hizo hakuna utitiri wa redio stations ukitaka kusikiliza huna option kama kipindi kilichopo hukipendi uzime tu radio.
Hata mfumo wa vipindi ulikuwa...
Uzi huu nautuma kwa vijana wakuanzia 1990.
Tumekuwa tunaendekeza urafiki na matani yasiyo ya msingi na kushindwa kukubaliwa kimapenzi na watoto wa kike.
Mabro wanawabeba kizembe sababu wapo...
Wakuu,
Hivi kuna style gani ya kuwang'oa warembo wa badoo maana kila ninaye mtext anajibu moja, then makavu unamuona online halafu hawajibu text sijui nitumie style gani.
A.K.A (A.K.A Worldwide) ni msanii maarufu kutoka
Cape Town South Africa ambae miezi michache
iliopita alialikwa jijini Dar es salaam kuperform
kwenye party ilioshika headlines kubwa; Zari All...
Hata watangaze nia watu mia nane,rais anatakiwa mmoja tu! Kati ya hawa kura yako unampa nani?
1. F. Mbowe
2. B. Membe
3. Dr. Slaa
4. l. Lipumba
5. J. Makamba
6. Z. Kabwe
7. E. Lowassa
8. M...
Zifutazo ni tabia za vijana wanaoendesha gari za shemeji zao:-
I. Lazima washushe vioo mpaka chini kabisa kisha wanaweka kishoka.
II. Lazima waweke sauti kubwa sana ya radio yaani makelele...
Wakuu,
Kwa unavyodhani, baaada ya Watanzania kadhaa kutangaza nia, yupi anasikiliza wimbo gani muda huu ama ameweka ringtone gani kwa sasa? Unadhani kati ya wafuatao yupi anasikiliza wimbo upi...
Habari zenu ndugu zangu wa JF,
Kama tunavyojua umu JF wengi tunatumia ID fake na niwachache sana wanaofahamiana ndani na nje ya JF.Unaweza kuta mtu unamfahamu nje ya JF, lakini ndani ya JF...
Jana nimeenda kuonana na mwanamke mmoja ambae tumekua marafiki kwa mwezi mmoja ndani ya JF, tulishapeana namba za simu siku nyingi na huwa tuna chat whatsaap. Sasa nikaingiwa na uroho wa kutaka...
Duh leo nimekaa nimemis pombe za bure leo weekend watu mnakaje nyumbani tokeni ata njee tu mtembee labda utapata pombe za bure mimi nipo hapa kitambaa cheupe nasubilia 😂
Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni...
kwa wale walio soma Kiluvya secondary tukutane hapa ili kujuzana yale yaliyo wahi kutokea enzi upo Kiluvya secondary na ni kitu gani ambacho unakikumbuka kutoka KVSS na mwaka ambao ulisoma hapo...
Wadau,
Yaani nimepata mtoto mmojaa wa kachanganya damu . Ni mzuri balaa halafu papuchii ni mnato kwelli. Tatizo huyu mchepuko wangu anapenda kula ugali wa dona hata sahani tatu.Imagine juzi...
Sera ya mapenzi kwa vipindi tofauti
MIAKA YA 1986--1990
hapa utaambiwa ...Nimekubali ila usimwambie mtu
MIAKA YA 1991--1995
Hapa utaambiwa nimekubali ila namwogopa baba na mama watajua ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.