Umri na harakati zake hapa Tanzania

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
A. MIAKA 17-19
1. Teacher wa History
2. Mwal Tuition
3. Boda Shule
4. Mkaka wa Chips
5. Baba, mama etc

B. MIAKA 20-25
1. Baby, sweetheart, love
2. Namba NIDA
3. Mate Mzumbe
4. Lecturer Mashauri
5. Bodi mikopo

C. MIAKA 26- 30
1. HR Tigo
2. Ajira
3. Michongo Sinza
4. Boss
5. X boy/ X girl

D. MIAKA 31- 40
1. Vicoba Goba
2. Keki
3. Mwenye nyumba
4. Umeme, Maji
5. Daktari
6. Mwalimu
7. Uber
E. MIAKA 41-50
1. Fundi gar
2. Fundi ujenz
3. Fundi umeme
5. Housegirl
6. Fundi Bomba
8. Mzee wangu
9. Mpangaji

F. MIAKA 51-60
1. Baba paroko
2. Upako
3. Mjukuu bahiri
4. Daktari Muhimbili
5. Jirani
6. NMB pensheni

G. Miaka 61- 70
1. Mnunuzi wa Shamba
2. Vikao vya kanisa
3. Mwenye power tiller
4. Mkopeshaji wastaafu TCB
5. Tarehe ya Clinic BP na Diabet


USSR
 
Kwa hii list kwa wale wanaogawa papa kila kona hadi afike 70 inakuaje..... Msinihukumu ni mawazo ya mlevi tu
 
Mimi nipo hapo D Sijawahi kuwa kwenye Vicoba ,Sema nina lingine tayari huku kwenye G ,hilo la clinic ya kisukari .
realy?
pole sana, mungu atakutunza mwanamke.
Mama yangu ana presha na sukari, i know how it feels!!!!!!!
 
realy?
pole sana, mungu atakutunza mwanamke.
Mama yangu ana presha na sukari, i know how it feels!!!!!!!
Yaani sema iam still in my mid 30's sasa kinachoniogopesha ni nikifika huko 70's.Halafu kila siku kumeza dawa, some time mtu unatamani ka coka kola😭The life style acha tu.
 
Yaani sema iam still in my mid 30's sasa kinachoniogopesha ni nikifika huko 70's.Halafu kila siku kumeza dawa, some time mtu unatamani ka coka kola😭The life style acha tu.
mama yangu alirithi, marehem bibi yangu alikua anajificha chumbani anakunywa soda, yani alikua anasema kashachoka wajukuu zake ndo walikuwa wanamfuma anaficha mpk keki na vitu alivyopigwa marufuku. ilifika hatua mpk pesa alikua hapew sababu hiyo
 
A. MIAKA 17-19
1. Teacher wa History
2. Mwal Tuition
3. Boda Shule
4. Mkaka wa Chips
5. Baba, mama etc

B. MIAKA 20-25
1. Baby, sweetheart, love
2. Namba NIDA
3. Mate Mzumbe
4. Lecturer Mashauri
5. Bodi mikopo

C. MIAKA 26- 30
1. HR Tigo
2. Ajira
3. Michongo Sinza
4. Boss
5. X boy/ X girl

D. MIAKA 31- 40
1. Vicoba Goba
2. Keki
3. Mwenye nyumba
4. Umeme, Maji
5. Daktari
6. Mwalimu
7. Uber
E. MIAKA 41-50
1. Fundi gar
2. Fundi ujenz
3. Fundi umeme
5. Housegirl
6. Fundi Bomba
8. Mzee wangu
9. Mpangaji

F. MIAKA 51-60
1. Baba paroko
2. Upako
3. Mjukuu bahiri
4. Daktari Muhimbili
5. Jirani
6. NMB pensheni

G. Miaka 61- 70
1. Mnunuzi wa Shamba
2. Vikao vya kanisa
3. Mwenye power tiller
4. Mkopeshaji wastaafu TCB
5. Tarehe ya Clinic BP na Diabet


USSR
Jinsi wapenzi, madanga, michepuko inavyosaviwa majina yao kwenye vsimu kulingana na umri wa mnyanduanaji
 
Nipo group G
Ila yote hayo bado maana napambana bado na kustaafu sitaki
Sina maradhi yoyote na Mungu anijaalie niendelee na afya njema

Shamba ndio
Acre 20 zinatosha kwa ufugaji na kustaafu ili nisiwasumbue wanangu maana tayari wana miji yao na wengine nimewakabidhi
 
Back
Top Bottom