Kisokolonkwinyo

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
4,085
8,453
Kisokolonkwinyo ni binti wa miaka 21 huyu binti amezaliwa tu katika familia ya kipato cha kati, baada ya kuzunguuka huko nahuko katika mashule na chuo amefanikiwa kuhitimh Diploma ya Uhasibu, akapata kazi sehemu fulani hivi aingize 100 au 200

baada ya miezi mwaka akaaga kwao kwenda kupanga na kweli alipata chumba na alianza na kitanda tu, huyu binti anakomwe kama yai la mbuni plus na vinywele au kiwigi kama cha rose mwamdo basi 50% ya sura inachukuliwa na sebure,

Alikuwa na bwana ake huyo, bwana hala pesa pia ni mwanafunzi kwenye moja na mbili walikutana ili waamza maisha, Kisokolonkwinyo alimdanganya huyo bwana ake kuwa ni bikira, ila siku ya show jamaa alikutana na kitu kama mdomo wa mbwa mmoja anaitwa bulldog mwananmke alikuwa kashatumika sana

sema jaamaa akaona sio kesi ananisave parefu, visa vilianza baada ya bidada kutotaka kijana kushika simu yake na alitaka huyo mwanaume kupika et kisa anarudi amechoka
Story ni kwamba ofisini akitoka anaenda kwa wanaume zake wawili ambao ni kama CR7

akipokea ujira anarudi home na kumpatia huyu bwana pesa kdg kwa mapishi ya kesho, jamaa akakosa sasa hadi unyumba maan demu everyday kachoka, akaamua kuanzisha mahusiano na demu mmoja wa kitaa na wakaamza kutunukiana matunda ya miti wa raha

demu alipogundua alimwekea fumanizi juu na mnanda kama wote jamaa siku hiyo aibu aibu sema nini jamaa akaropoka
Huyo kibibi kizee kinanipa utraaaa kwa mwezi mara moja alafu huo utraaam umeisha maaana ni shimo la kuzimu nikiongea sauti unarudi mwangwi .......... stay tuned

DAAAH NIMEANDIKA ILA SIJUI HATA NIMEANDIKA NINI NIMEJISIKIA TU KUCHOSHA VIDOLE
 
Hata me naona
 
Back
Top Bottom