dereva mmoja mbongo wa magari ya masafa mara baada ya kufika namanga mpakani na nchi jirani ya kenya, alipata hamu ya kujiliwaza na mamsap wa kikamba
wakati wakiwa kwenye kisiwa cha malavidavi...
MMh Jamani Hebu iteni Mjumbe wa nyumba kumi kumi... huu ugomvi hauhitaji polisi..... Ila huyu Bibie naye mmh .. we mpaka tembo wa porini kaangusha nae MOJA MOJA... kweli hapa mwaga ugali ninywe...
Unusual "safety certificate" from the 1940s
Mark Frauenfelder at 10:32 PM Thursday, Jan 13, 2011
Christine of Feetlips writes: "This sits on top of my vanity. I found it at a flea...
Ralph and Edna were both patients in a mental hospital. One day while they were walking past the hospital swimming pool. Ralph suddenly jumped into the deep end. He sank to the bottom of the pool...
Polisi walikuwa wanaranda kutafuta baa ambazo hazijafungwa saa sita usiku. Mara wakaiona baa moja ina wateja. Walipoingia pale, walevi karibu wote wakakimbia isipokuwa mmoja aliyelewa sana...
Katikati ya baa, mwana mama mmoja mlevi akapaza sauti.
"Hivi, kuna mwanamume gani hapa anayeweza kunifanya nijisikie mwanamke kikweli kweli?"
Mlevi mmoja (dume) akavua shati na kumtupia.
"Haya...
"Our beer, Which art in barrels,
Hallowed be thy drink.
Thy will be drunk, I will be drunk,
at home as it is in public.
Forgive us this day our daily spillage
As we forgive those who spillest...
Bora siku hizi kuna haya mambo ya Ujasiriamali, jamani kuomba kazi kwa lugha isiyo yako kazi kweli , hebu soma hii cv ya huyu jamaa anayeomba kazi ya ulinzi alivyojitutumua kwenye ung'eng'e.
The phone rings at FBI headquarters.
"Hello?"
"Hello, is this the FBI?"
"Yes. What do you want?"
"I'm calling to report my neighbor Adrian Thibodeaux! He is
hiding marijuana inside his firewood."...
Young Man: Sir, may I know the time, please?
Old Man: Certainly not.
Young Man: Sir, but why? What are you going to loose,if you tell me the time?
Old Man: Yes, I may loose something if I...
THE DOCTOR because he says, "Take off your clothes."
THE DENTIST because he says, "Open wide."
THE HAIRDRESSER because he says, "Do you want it teased or blown?"
THE MILKMAN because he says...
Three Insurance salesmen were having drinks and boasting about each companies' service.
The first one said, "When one of our insured died suddenly on Monday, we got the news that evening and...
Kuna mjamzito mmoja alinunua embe alivyokuwa wametoka kutembea na best yake alivofika home akaliweka kwny fridge kisha akalala mume wake akarudi toka ofcn akala embe la mkewe kisha akaondoka mdada...
As of tomorrow, employees will only be able to access the building using individual security cards. Pictures will be taken next Wednesday, and employees will receive their cards in two weeks."...
Leo nimeikumbuka hii nimecheka sana.
Wakati tuko "O-Levo" enzi zile katika shule moja ya sekondari iliyopo kanda ya ziwa, kituko cha aina yake kilitukia siku moja mida ya saa tano baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.