Tangazo kwa wachaga wote

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
Tangazo kwa wachaga wote. Chuo kipya kabisa cha kichaga ( CHAGGA UNIVERSITY COLLEAGE OF LIFE ) kinatangaza kozi mpya kwa mwaka wa masomo 2011/2012 kama ifuatavyo;

1- UBAHILI Miezi 3.

2-ULEVI miezi 5.

3- UCHAKARIKAJI miezi 6.

4- KUACHA WAKE KIJIJINI miezi 9.

5- KUENDESHA PIKIPIKI mwezi 1.

6- KUSOGEZA MIPAKA YA SHAMBA LA JIRANI miezi 12.

Atakaejiunga mapema atapewa ofa kozi ya kupika mbege na kutembeza Ndizi BUREE! Wahi nafasi ni chache sana. Ukipata ujumbe mtaarifu na mwenzako tafadhal:D
 
huna mawazo ya kuelimisha watu,kwanza hata jina lako mwenyewe linaonyesha kuwa wewe ni mchomvu na masikini na fukara wa mawazo,inaonekana wewe unatembea na wake za wachaga utageuzwa mke.
 
Hicho chuo bado hakijakidhi matakwa ya Wachaga maana kuna kozi nyingine hazifundishwi hapo na ni muhimu,yafaa kifungwe tu.
 
huna mawazo ya kuelimisha watu,kwanza hata jina lako mwenyewe linaonyesha kuwa wewe ni mchomvu na masikini na fukara wa mawazo,inaonekana wewe unatembea na wake za wachaga utageuzwa mke.

Asante, nitafikiria kuhusu jina "Mohammed" lakini ndio nimezaliwa nalo ila leo ndio najua kuwa jina hili ni chovu, masikini na fukara.
 
Mkuu una masihara! Nimeipenda ile ya sita,sababu kwetu tumezungukwa na wachaga kesho nawapa ili Tangazo,wakishahitimu watamsaidia mzee wangu kupunguza magugu.
 
Inasemekana jamaa ni mabibwa wakujiongezea ardhi!
 
Tangazo kwa wachaga wote. Chuo kipya kabisa cha kichaga ( CHAGGA UNIVERSITY COLLEAGE OF LIFE ) kinatangaza kozi mpya kwa mwaka wa masomo 2011/2012 kama ifuatavyo;

1- UBAHILI Miezi 3.

2-ULEVI miezi 5.

3- UCHAKARIKAJI miezi 6.

4- KUACHA WAKE KIJIJINI miezi 9.

5- KUENDESHA PIKIPIKI mwezi 1.

6- KUSOGEZA MIPAKA YA SHAMBA LA JIRANI miezi 12.

Atakaejiunga mapema atapewa ofa kozi ya kupika mbege na kutembeza Ndizi BUREE! Wahi nafasi ni chache sana. Ukipata ujumbe mtaarifu na mwenzako tafadhal:D

Hiyo ya namba 3, uwa wanapewa kozi kabla awajatua mijini. Aisee mwanagu, nenda katafute pesa. Si umemuona mtoto wa massawe, Lyimo na Urasa. Mwaka moja tu wameshanunua gari. Wewe msenzii, nenda kaesabu ghorofa tu, urudi hapa na ashua zako. Utajua pa kufikia, kwang usirudi. Mama Elishirima, lete Mbege, mazdhiwa na majani ya masale tumfanyie mila huyu mtoto. Ndio maana mchaga katoka kishumundu, mjini form six
 
Tangazo kwa wachaga wote. Chuo kipya kabisa cha kichaga ( CHAGGA UNIVERSITY COLLEAGE OF LIFE ) kinatangaza kozi mpya kwa mwaka wa masomo 2011/2012 kama ifuatavyo;

1- UBAHILI Miezi 3.

2-ULEVI miezi 5.

3- UCHAKARIKAJI miezi 6.

4- KUACHA WAKE KIJIJINI miezi 9.

5- KUENDESHA PIKIPIKI mwezi 1.

6- KUSOGEZA MIPAKA YA SHAMBA LA JIRANI miezi 12.

Atakaejiunga mapema atapewa ofa kozi ya kupika mbege na kutembeza Ndizi BUREE! Wahi nafasi ni chache sana. Ukipata ujumbe mtaarifu na mwenzako tafadhal:D

Mo...course namba 4 na namba 5,hizo nimezikubali wachagga wengi wana hizo degree.....lakini swala la ulevi labda sana kwa watu wa Musoma...
 
Back
Top Bottom