JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwarabu mmoja(sayeed) kabla ya kufariki aliwaachia wosia wanawe watatu arkhad,khalfan na nadir kuhusu kugawana ngamia wake.alisema arkhad(first born) apate 1/2 ya ngamia wote,khalfan(second born...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
At a family reunion were the following people: one grandfather, one grandmother, two fathers, two mothers, four children, three grandchildren, one brother, two sisters, two sons, two...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Gaddafi secretly arrives in Dar Send to a friend Thursday, 31 March 2011 23:21 digg By The Citizen Correspondent and Lipra Loof Dar es Salaam. Libyan leader Muammar Gaddafi is in Tanzania...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Padri alikuwa safarini na sista mmoja wa Parokia yake, mawazo mabaya yakaanza kumtawala Padri Yule kwamba kwanini asimuombe Yule sista ili watiane!!! Sista akashtukia ishu halafu akagoma!!! Baadae...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Daily News | Gaddafi arrives in Dar es Salaam, seeks asylum Daily News | Sitta leaves CCM, joins Chadema Naona DAILYNEWS walikua kweli wamepania APRIL fool's day!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
majeshi ya Ouattara yamevamia makazi ya rais anayengangania madaraka gbagbo ya inasemekana kuwa Gbagbo kapigwa risasi katika mashambulizi. nipo nacheki tv hapa nitaendelea kuwaupdates
0 Reactions
20 Replies
3K Views
DAWA YA UKIMWI Kutokana na mwitikio wa wananchi kunywa dawa kule Loliondo na kule Tabora nimeona nitoe wazi siri ya 'ingredients' za dawa ya ukimwi. chukua mirungi fungu mbili, twanga kwenye...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa jumamosi j2 tu......awe mkali ajue mapenzi sifa za tabia njema sizitaki
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete yuko hoi hospital ya taifa Muhimbili baada ya kupigwa na mkewe mama Salma katika ugomvi uliotokea ikulu juzi usiku,hata hivyo jana Jk...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu baada ya kazi ngumu za wiki nzima, habu tufurahie weekend kwa hii: Kibaka akieleza mambo yaliyokuwa kwenye pochi ya mwalimu aliyempora: 1. Majina ya wapiga kelele darasani 2...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Babu wa Loliondo yuko kwenye facebook. Bofya hapa: http://m.facebook.com/profile.php?id=161101420609717&refid=0
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kutokana na kumfumania mme wake na demu white house
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Not you.....you! 1 April.....not for great thinkers.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nimeoteshwa sasa hivi, ndo nimeamka niwaambie. Nimeoteshwa nichemshe kunguru akiwa hai kwenye chungu kikubwa halafu nichanganye na mavi ya nguruwe. Supu inayopatikana hapo ni dawa ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Fools day ni siku katika siku ninazozichukia sana hasa kwa wale ambao hawajui jinsi ya kuitumia. Siku itumie kudanganyana nyinyi wenyewe yaani mtu kwa mtu na sio kuliambia taifa swala la msingi...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Leo saa 6 mchana babu atakuwa viwanja vya Jangwani Dar es salaam akitoa kikombe kwa wenye shida wote. Babu ameamua hivyo kusherehekea siku ya leo na kurahisisha huduma kwa wananchi. Kikombe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa miaka ya hivi karibuni kumeibuka makanisa kibao ambayo theme yao kubwa ni uponyaji wa magonjwa mbalimbali waliyonayo bin adamu. sasa mimi swali langu ni kwamba hivi haya makanisa yamekuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeshitushwa na habari kwamba chadema kimefutwa rasmi, naomba wenye taarifa zaidi atupe hapa. Source Gazeti la kasi mpya la leo
0 Reactions
24 Replies
3K Views
1) Nakumbuka wakati mi mdogo kutoka angani kulipeperushwa karatasi zenye picha ya Mwalimu Nyerere wakati huo akiwa Rais. Picha hiyo ilikuwa ikimuonyesha Rais akiwa ameshika kichwa huku akionyesha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wana JF!!!!!! Leo ni sikukuu ya wajinga muwe makini msije ingizwa chaka kama sio vyoo vya kike/kiume!!!!!!! Nawatakia siku njema!!!!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…