breaking news: Gbagbo kafariki

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
majeshi ya Ouattara yamevamia makazi ya rais anayengangania madaraka gbagbo ya inasemekana kuwa Gbagbo kapigwa risasi katika mashambulizi.
nipo nacheki tv hapa nitaendelea kuwaupdates
 
Hi sikukuu ya leo mpaka inafika jioni unaweza ukakuta umeshapigana ngumi na watu kibao..
 
acha afariki tu kwani ana faida gani bana...kwanza kachelwa kufariki
 
Hivi, nikumbushe leo ni tarehe ngapi vile, ahaaa, lakini utani mwingine sio mzuri kama huu wa kumsingizia mwenzio kifo. Mbona mimi niko hapa Abidjan, sijasika kisa kama hicho?
 
Enheee ni kweli hata mimi na -watch hapa live AMEFUFUKA!!!!

Alipigwa risasi na waasi akafa, sasa kapigwa risasi na walinzi wake amefufuka!!!!
 
Nimetazama CNN hawajatoa zaidi ya kuonyesha ni intense ground fighting mpk Abidjan ambapo jamaa amegoma kuondoka kwenye palace.
 
majeshi ya Ouattara yamevamia makazi ya rais anayengangania madaraka gbagbo ya inasemekana kuwa Gbagbo kapigwa risasi katika mashambulizi.
nipo nacheki tv hapa nitaendelea kuwaupdates
ungeileta kesho, au jana leo hiiiiii, umenoaaaaa April first
 
Yupo na anadunda uzuri sana isipokua kaelemewa kiukweli kijeshi hadi usiku wa hapo jana.
 
hahahah! nilishaanza kufurahi huyo ***** kafa kumbe ni fools day! mdogo wangu leo ana Birthday miaka 25, ikifika tu huwa anazima simu anasema anayetaka kumpelekea keki aende nyumbani kwake hahahah!
 
Niko hapa kama umbali wa kilometa 3 kwa hewa toka kwenye nyumba ya Gbagbo, vita kali bado inaendelea.... Gbagbo hajafa, na wanajeshi wa Ouattara pamoja na UN wanamtaka hai wampeleke the Hague. Karibia jeshi lote limemgeukia Gbagbo, waliobaki ni wapuuzi ambao wanataka kufa tu..
 
kapigwa risasi lakini hajafa.habari za kufa ni za uongo.ila ukweli ni kwamba yule kapigwa risasi tu.
 
Back
Top Bottom