Jagi la dawa ya UKIMWI hili hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jagi la dawa ya UKIMWI hili hapa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by komedi, Mar 30, 2011.

 1. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  DAWA YA UKIMWI


  Kutokana na mwitikio wa wananchi kunywa dawa kule Loliondo na kule Tabora nimeona nitoe wazi siri ya 'ingredients' za dawa ya ukimwi.

  chukua mirungi fungu mbili, twanga kwenye kinu mpaka upate uji uji, changanya na pombe ya gongo( ya papai) kikombe kimoja, changanya na kinyesi kibichi cha mtoto mchanga, ongezea na petroli vijiko sita, ongeza maji ya bahari vijiko viwili, tikisa mpaka povu litokee, weka kwenye jagi la lita moja, kisha ujambe juu yake....tikisa tena, halafu chukua bangi kavu, sokota kwenye karatasi ngumu ya khaki, washa halafu ukiamua kuvuta hiyo bangi mpaka usikie kizunguzungu.....duh bado mnasoma tu! kweli watu wagonjwa yaani unasubiri nikwambie unywe! Mie simooo!!!!!
   
 2. Kelvin Joseph

  Kelvin Joseph Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Hiyo dawa balaaa.
   
 3. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mweeee! We kweli komedi!!
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  du:violin:
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Du!! Hiyo hata chizi hawezi kuitumia...
   
 6. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Umeoteshwa na nani wewe??
   
 7. X-not

  X-not Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Seemz jamaa hana mizizi, that's y hakuota!
   
 8. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dah!mkuu hii iko poa sana ngoja nikachukue nyundo nikugongee bonge la thanx hahahahahhaaaa!!!
   
 9. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mkuu ze komedi...oopss komedi umeshtua cha arusha nini!!!
   
 10. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ba!ba! kumbe ile makitu ya AR unaiyanyaka arifu. Ile kitu ni noma kinyama chali angu. Ile ukipiga kifala inakula kwako fu...fulu yaani.
   
Loading...