JK apigwa na mama Salma.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete yuko hoi hospital ya taifa Muhimbili baada ya kupigwa na mkewe mama Salma katika ugomvi uliotokea ikulu juzi usiku,hata hivyo jana Jk aliruhusiwa kutoka hospital baada ya kupewa matibabu,Dr Salum Hamisi alipoulizwa alisema kweli rais alilazwa juzi na jana tulimruhusu atoke baada ya kupona majeraha aliokuwa nayo.
 
Humo kwenye red: Hata kama leo ni siku ya wajinga duniani basi mi naona mjinga zaidi ni wewe. Haiwezekani utueleze JK yupo hosp. ya Muhimbili na wakati huohuo eti jana aliruhusiwa kutoka. Tushike lipi sasa? Mbaya na linaloonyesha kwamba hata kumdanganya mpenzi wako huenda hujui ni pale unaposema baada ya kupona majeraha. Mtu ataponaje majeraha kwa siku moja! Chizi nini wewe?! Jiondoe humu. Hili ni jukwaa la greater thinkers, pambafu we!!!!!
 
Great thinker huwa hatukani,acha matusi hili ni jukwaa la utani na waswahili husema raha ya utani uume.
 
Back
Top Bottom