Fools day

Fools day

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
156
Fools day ni siku katika siku ninazozichukia sana hasa kwa wale ambao hawajui jinsi ya kuitumia. Siku itumie kudanganyana nyinyi wenyewe yaani mtu kwa mtu na sio kuliambia taifa swala la msingi katika hali ya uwongo. kwa kufanya ivyo unawasababishia wananchi wengi wasioijua siku iyo kuwa katika wakati mgumu kutokana nakile utakachokuwa umesema. Please great thinkers be the example to the rest by using this day wisely


KUWA MFIRIFU YAKINIFU KWA KUTOKUTUMIA MAMBO MUHIMU KATIKA HALI YA KUDANGANYA SIKU HII
 
Back
Top Bottom