JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kila binadamu ana malengo mapya hasa pale anapoanza mwaka, Katika moja ya malengo yangu natamani kuwa mtu maarufu ambae nitajulikana nchi nzima na africa mashariki, ni kitu gani kitanifanya...
0 Reactions
1 Replies
410 Views
HERI YA SIKUKUU YA KRISMAS WADAU, Uzi huu ni wa kutuma salamu za krismas kwa Wadau wawili hapa jamvini, haijalishi dini, dhehebu, wala kabila lake... Malizia na ujumbe "Nampenda Sana" Mimi...
14 Reactions
308 Replies
11K Views
Enough is enough.
0 Reactions
3 Replies
601 Views
OYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! Naskia mmenimiss Kinoumaaaaaaa, muhahahahahahahahaha ( In Monster's Voice) Sometimes its good kuadimika ili utengeneze maisha, $$$$ beeeeibeeee Hivi lara 1...
8 Reactions
148 Replies
19K Views
Mara ya kwanza nilidhani iPhone ni simu za watu wenye ujiko hivi au hadhi fulani. Lakini baadaye nikagundua iPhone zimekaa kidada dada, hata wanaomiliki wengi wao ni kama wana mikogo ya...
27 Reactions
41 Replies
4K Views
Wazima jamani Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo...
43 Reactions
306 Replies
15K Views
Gari huna Nyumba huna Mke huna Iphone huna Halafu upo above 30 Wewe kuna jina la kukuita sio bure
7 Reactions
104 Replies
4K Views
Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Hapa Mbeya Mjini nimejionea nyumba kadhaa nilizotembelea hali ni hiyo pamoja na kutandika vitambaa kwenye makochi.
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani...
7 Reactions
101 Replies
3K Views
Mimi Leo nipo zangu hapa Landmark hotel hapa Tukuyu nikiwa nmeagiza kuku mzima tayari kwa kujiservia. Mama yenu mdogo kaenda kula likizo kwao Hapa nasubiri usiku ufike niingie kivanga top garden...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Meery Christmas wakuu Natumaini mu wazima siku ya leo pia pole kwa wale wanaoumwa, walemavu na kikubwa pole kwa makapuku kama mimi ambao sikukuu ya leo tutakula ugali, dagaa mchele na soda baridi...
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Nakualika kama mtu wa karibu. Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli? Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako. SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO...
14 Reactions
59 Replies
2K Views
Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa. Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Tupeane connection za vibes kali mjini. Wazima lakini? Mko poa?
3 Reactions
82 Replies
2K Views
Pamoja na mambo yote kuhusu Krismas, leo ni siku na tarehe ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa baraka na uzima kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu, daima nitamshukuru...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Macho yawe makavu na yasiyo pepesa pepesa, Na mdomo unene firmly
1 Reactions
2 Replies
458 Views
Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote." Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Hakuna apendae kuwa masikini katika dunia ya Leo na KILA mmoja anayatamani maisha yake yawe mazuri angalau apate robo tatu au nusu ya kile anacho kihitaji. katika dunia ya leo,pesa ipo KILA mahali...
1 Reactions
5 Replies
30K Views
Mimi nitasherehekea sikukuu ya krisimasi nikiwa Kolandoto, Shinyanga. Wewe sikukuu ya krisimasi inakukuta ukiwa wapi?
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…