Habarini wapendwa,
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi niniaminishwa kuwa kusoma kwa bidii na kufaulu vizuri sana moja kwa moja unafanikiwa ila jamani yote nimeyafanya ila mafanikio sasa duh.
Kila nchi ya Afrika uwa ina vitu vyake fulani hivi ambavyo ukisimuliwa unajua moja kwa moja hii ni Nchi fulani... Mfano
Ukizungumzia Somalia unazungumzia Pirates (Mabaharia wezi), kazi yao kuteka...
Kwako mpendwa,
Vile uliniambia unakuja nyumbani, basi kamankawaida ya wanawake wa kiafrika ukarimu wa kwanza ni kukaribishwa chakula.
Na raha ataipata mpishi pale utakapokula chakula chake hata...
Njiwa🐦 peleka salamuu kwa yule wangu muhibu 🥰
Umueleze, afahamu... yeah ndio wangu wa kuzikana...😇.
Hali yangu hamuhamu, Mahaba yamenisibuu..
Mchana kutwa nachekaa (tabasamu), na yeye ndio...
Asubuhi na mapema baada ya kuamka, mtoto anamfuata mama yake kwa bashasha.
Mtoto: Shkamoo mama
Mama: marahaba hujambo
Mtoto: sijambo mama.
Mtoto: Mama kwani tumenunua gari?
Mama: kwanini...
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C.
NB: Najua tutaachana🙄...
Kupendeza hasa unapotoka ni katika namna ya kuisherehekea, mim nitatokelezea kwa namna hii( T-shirt nyeupe, surual ya kadeti na raba nyeupe).
Vip kwako, mtoko upi utatokelezea nao..?
● Anapekuapekua simu yake
● Amejichomeka visikiliza masikio (earphone) anasikiza mambo mengine
● Nayeye anaongea na mtu mwingine
● Anakuongelesha wakati hujamaliza kuongea (wewe unaongea na...
Igweeeeeee
Eid Mubarak kwenu nyote. Maaake kwanza ncheke. Umewahi kujikuta unajua au unaimba wimbo flani kila mara ukihisi ndo maneno/lyrics sahihi lakini siku unakuja kuziona lyrics zenyewe...
Mara nyingi binadamu tumekuwa na kawaida ya kusema, leo najisikia ovyo ovyo yaani sijui hata nifanye nini?. mbona huwa hatusemi Leo najisikia vizuri naweza kufanya lolote ama chochote
Inakuaje bangi inawekwa kundi la madawa ya kulevya?
Mbona Kuna Wana wanavuta sana ganja lakini wapo poa sana na wanafanya kazi zao vizuri tuu.
Kitu kama shisha ndio naskia ina madhara mengi...
Kuna mambo yanafurahisha na kusikitisha kwa pamoja Kuna vitu havikwepeki hasa suala mbususu Yani utajizuia lakini kwa mwanaume ngumu pamoja na ugumu huo na tunaweza kumudu kufanya starehe ya namna...
Enzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma
Enzi hizo nilisoma hadithi kv...