JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hebu tukumbushane vitu/topic au maneno ampayo yanachekesha ukiyatamka kiswahili kipindi kile tunafundishwa shule ya msingi lakini yanamaana nzuri kwa kingereza.. MFANO: 1.Mwendokasi mtoroko =...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
...*Nothing Serious...much greetings ...let's have fun. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekumbuka baba wa taifa-RiP-nyerere Vox populi,vox dei
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Nyie watanzania nao muna matatizo wkt mwingine, mnawakataza madaktari wasigome ili iweje? Mtawalipa nyie hayo malimbikizo? Imagine we unayekataza mgomo ndo ungekuwa daktari ungefanyaje? Fikirien...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bwana mmoja ambaye alikuwa na wivu sana wa mapenzi kwa mke wake siku moja aliaibika.Bwana huyu alitoka safari na kurudi nyumbani, alipofika nyumbani moja moja alienda chumbani kwake kwa lengo la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sina jinsi wana jamvi nisaidieni,daktari kaniambia tiba pekee nilale shuka moja na mwanamke mwenye macho ya KICHINA,wadau mnanisaidiaje????????????????????????????
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Hii ni kwa sababu ambazo alizitoa chumbani zisizo na msingi! kumbe amenisaliti na ....... watajitaja..... SITAKI TENA NAKWENDA KUSOMEA USISTAAAAAAA NB: SITAKI USUMBUFU WA AINA YOYOTE KUANZIA...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Sasa wakati natoka ndo nikaiona ile picha,barabara yote ikawa haipitiki maana hata ubao ulikua hautoboki kwa msumari,na kalamu zimemwagwa zote juu ya mnazi.ile nachukua chaki tu Daktari akawa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anaonaekana wa masaki tabia za kiswazi
1 Reactions
39 Replies
2K Views
....kushindwa kuthibitisha kwamba wewe si dhaifu....udhaifu ni kujifanya uko siriaz wakati uko jukwaa la utani...udhaifu ni kujifanya unapinga ufisadi wakati umekosa nafasi ya kufisadi....
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Ukimkuta mtu mzima kwenye kioo pekeyake ndo utajua kuwa kila mtu anakichaa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeiona hii leo asubuhi imeandikwa nyuma ya guta, 'KITAMBI BILA PESA NI MZIGO'. Wadau mnasemaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi ukisoma bila kuandika hilo neno ni tatizo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanajeshi alikuwa vitani akashika adui watatu,wote walikuwa wanawake;wasichana wawili na bibi (nyanya) mmoja. Mwanajeshi akawaambia "Punishment yenu ni mimi kufanya mapenzi na nyinyi wote"...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani!...jamani!.,jamai! Ninahitaji kuvunja mahusiano na mwanandani wangu.(nadhani anajijua).Sababu ya kufanya hivyo ninayo,Nia ya kufanya hivyo ninayo,Uwezo pia ninao......enough is enough.Mama...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
naona wenzangu wiki hii ni hekaheka ya kulalamika waume kuibwa kuna umuhimu gani kuwamiliki kwa nini msiwe single wenzenu tunaruka viwanja kinoma bila pressure.mume wa kazi gani ikiwa mabachela...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Huwa nikiitazama nacheka sana maana inanikumbusha kwamba tumewahi kuidiscuss sana picha hiyo wakati tu imetoka na nakumbuka maneno ya watu........Dah walah nafurahi mie! Thank you MadameX kwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Unakumbuka mwaka jana nilikwambia hivi vibarua vya watu si vya kutegemea sana kimaisha. Katika kulijua hilo nikalazimika kufungua vijiofisi pembeni. Nikafungu kaduka ka Stationary, Internet cafe...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
hahaha hahaha hahaha hahaha ......
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Labda ni macho yangu tu.......Lakini huyu Member maarufu sana kwenye Jukwaa hili na Mahusiano..hana uchoyo kabisa linapofika suala la kugonga likes. Tembelea tembelea thread za watu kama...
10 Reactions
132 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…