'ikulu'

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Sasa wakati natoka ndo nikaiona ile picha,barabara yote ikawa haipitiki maana hata ubao ulikua hautoboki kwa msumari,na kalamu zimemwagwa zote juu ya mnazi.ile nachukua chaki tu Daktari akawa amefika kila mmoja alikua ameshika bunduki yake yenye maua mazuri na zile za Ilkulu pia zilimiminwa kwenye sufuria ileile ya kutoka Manzese mpaka Oysterbay!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom