Kila mtu anakichaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mtu anakichaa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Donn, Jun 17, 2012.

 1. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ukimkuta mtu mzima kwenye kioo pekeyake ndo utajua kuwa kila mtu anakichaa.
   
 2. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  haya donn
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Samahani Donn, hiki ni kichekesho au udaku?
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hakijaeleweka!
   
 5. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  naomba kumsaidia.

  jiangalie mwenyewe kwenye kioo cha mwili wote esp ukiwa home pekeyako then angalia unachofanya ukijiangalia kama hutafanya kitu basi utakuwa kichaa dormant . Mm nimekumbuka nilikuwa nacho wakati niko mdogo kila nikijiangalia mwenyewe alone kioo cha full huwa naongea naakti jinsi ya kujibu maswali nacheka nanuna nalia kujiona watu wengine wananionaje nikifanya hivo vitu ila now koz of majukumu kuwa mengi na muda kuwa mdogo nimeacha au nimepona. sasa ww je take tym in ur mirror en detect how kichaa u r. MEELEWA?
  nimeasidia tu kufafanua
   
 6. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  im nt in among...
   
Loading...