Huyu afanyweje? Anaelekea kushindikana sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu afanyweje? Anaelekea kushindikana sasa!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Jun 22, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Unakumbuka mwaka jana nilikwambia hivi vibarua vya watu si vya kutegemea sana kimaisha.
  Katika kulijua hilo nikalazimika kufungua vijiofisi pembeni.
  Nikafungu kaduka ka Stationary, Internet cafe na Cutting salon, wife ndiyo overall inchurge wa hii makitu!
  Tatizo ni mke wangu kila kukicha anagombana na wafanyakazi, yaani ndg yangu tangu niufungue huu mradi wafanyakazi zaidi ya 15 wameacha, imekua kukicha unaajiri wapya.
  Hawa wanaacha, hawa unaajiri.
  Tabu wanaoacha ndiyo wenye tija kwani wanakua wameshaelewa kazi vzr.
  Wapya ni hadi wafundishwe hivyo shughuli zinazorota.
  Last wik niliitisha kikao cha wafanyakazi wote kujua kinachowakwaza, kwani tayari nilishapata tetesi kua kuna wengine tena wawili wako mbioni kuacha.
  Wafanyakazi nilikaanao bila wife kuweko (kwa startegic ya usalama wao)
  mbiu kauli yao kwangu wafanyakazi wakaniambia tatizo ni matusi, wife wangu anawatukana kupitiliza.
  Kosa dogo mitusi lundo, tena kuna wakati anawatukana wafanyakazi mbele ya jamaa/ndugu zao ambao hupita hapo kwa dkk chache kuwasalimia.
  Hili lalamiko kwangu halikua geni kwani nimeshalipata kila mara mfanyakazi aachapo kazi.
  Binafsi yangu nimeshamuasa wife aachane na hii kadhia ni kama imeshindikana.
  Na sidhani kwa makosa namna hii niachane nae nitakua sina akili nzuri, kwn hagombani namimi ni wafanyakazi.
  Unanishauri nini rafiki yangu Judgement ? Niufunge huu mradi ?
  Na nijuavyo suala la kujaribu tu, kumwambia wife akae mbali na huu mradi 100% litapelekea kuyumbisha nyumba (ndoa) yetu.
  Nawasilisha.
   
 2. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mke wa nini wakati vigori kibao.
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yaani kigori asimamie mradi ? Fisi bucha itahusu.
   
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Kama huwezi kumdhibiti mkeo kwenye jambo lenye tija kama hilo..Je? siku maisha yakiyumba utaweza kumdhibiti asikimbie
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mke mpumbavu huvuruga mwenyewe ndoa yake, lazima aadabishwe tena bila huruma. ili ajue mdomo wake na ulimi wake vinatakiwa kuwa na mipaka, ulimi uwe na tbs kha! ngoja siku atakayomtusi ndugu yako au bosi wako, aibu utakayoingia ndiyo utatia akili! mwana umleavyo, ndivyo ulivyomkuza na kumzoesha!
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wanawake wengine nuksi kweli...
  kuna wanawake wamefanya ndoa zao jehanum ya moto....
  huyo mwanamke abaki tu nyumbani kuangalia tv mchana na kumpa mumewe utamu usiku..hafai kwa shughuli yeyote hapa duniani...mpuuzi mtupu...
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ploto!
  Mie nimeuliza na kutaka ushauri, hapa na wewe umeniuliza badala ya kunipa utatuzi, demand over demand!
  Tutamsaidiaje huyu ?
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ahsante kuwakilisha cacico.
   
 9. Mkwai

  Mkwai JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kufunga mradi haitakuwa suluhisho. kazi unayotakiwa kuifanya hapo ni namna ya kumuondoa wife wako katika biashara hiyo. Katika hili itakuwa rahisi kumtafutia kazi mbadala, na hii unaweza kuifanya kwa kuongea nae na kumuelewesha kwa utaratibu. kama atakuwa muelewa na anaitakia mema biashara yenu basi atakuelewa. Ila kama ni ......... basi hapo mzee ni hasara.
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hapo sasa! Muhusika kaniambia huyo wife wake alivyoushobokea huo mradi si polepole!
  Ana hakika akijaribu tu kumuweka pembeni ya mradi nyumbani bifu hazitakwisha.
  Far to the story wewe Smile jana ulilalamika kidole sijui mkono vyakuuma nikakwambia njoo nikugange, ikishindikana nikuombee, huja'respond whaay ?
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkuu asante ntafikisha!
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  basi auache ufe ...lirudi huko nyumbani milele ...
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  No comment kwa kweli...
   
 14. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine tunapata majibu mujarab ndani ya maswali..Kwani si huwa tunajiuliza tunapotaka kufanya maamuzi kabla..na majibu yenyewe yanakuwa ndani ya swali?

  Msome vizuri rafiki yako: Anamwogopa mke wake, Kwa nini? Kwa sababu pamoja na kujua mke wake ana matusi kwa wafanyakazi wake lakini bado aliwaita kuwauliza sababu za wao kuacha kazi. Ndio maana nikauliza: "Kama huwezi kumdhibiti mkeo kwenye jambo lenye tija kama hilo..Je? siku maisha yakiyumba utaweza kumdhibiti asikimbie?"

  Yeye ni Kichwa na kiongozi wa familia..asikwepe kuchukua maamuzi magumu..Amweleze. Muhimu tatizo linajulikana suluhisho ni kumtoa kwenye uangalizi wa angalau mradi mmoja halafu ajifunze kutokana na perfomance ya wengine.

  Katika hilo asipojifunza..amwondoe kwenye miradi yote na kumpa pesa afungue mradi wake mwenyewe na yeye (mume) asimwingile....halafu aone uchungu wa kufunga biashara wakati wateja wapo.

  Na hilo lisipompa somo tumsaidieje?.....Arudi nyumbani kutunza watoto? (hapa nimeuliza swali tena). Mungu atamsaidia.
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Vya tiba je? Inaonekana huumwi sijui ilikua deko?
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wanaume wengine wanapelekeshwa humo ndani ....ohoooo
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  a ahahaaa i was bwana
   
 18. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Ole wako na wewe u-copy...tunatofautiana unaweza kula kipondo mpaka ujute kuvaa suruali kwenye avatar
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi siwezi kumtesa mtu naeishi nae bana ...sitaki kumtesa wala sitaki yeye anitese ..ndo maana nipo alone ..sitaki kuishi kwa makwazo
   
 20. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Will you marry me?
   
Loading...