Kuna mgambo alimkamata mmasai kwa kosa la kukojoa mahali ambapo haparuhusiwi hivyo basi akamtoza mmasai elfu tano,mmsai akatoa elfu kumi kuona vile akamwambia sina chenji we kojoa tena
Guy Sebastian - Who's That Girl - YouTube
I was on the mic Doin' my thing on a friday night Had the floor burning up just right Everybody was bumpin', the club was jumping Suddenly, you...
Basi bana...mimi si jana usiku nikaota eti nimekua jogoo, e bana mitetea ilinikoma,niliikimbiza...wakati nataka tu kuumpanda mmoja, nikashtuka...kumbe ilikua asubuhi natakiwa...
Mwl. Mnoko - huyu alikuwa akikukuta na kosa ni bakola, hakuna msamaha
Mwl. Consumer - huyu alikuwa mwl wa commerce, ilikuwa hazipiti dakika mbili bila kutaja neno consumaer
Mwl. Bunsen Banner...
Jamaa alikuwa na mke wa rafiki yake gest, ghafla simu ya mdada ikaita.
MDADA: Haloo , ok, sawa, alaaaa , ok have a nice time jamani msalimie mwambie na mimi mnitoe out siku moja. Ok sweety, miss...
Jamaa kakutana na sister du kwenye mitandao ya kijamii,yeye upo UK demu yupo dar,wamechat,kuzoeana na kuwa kama wapenzi bila kuonana na kufahamiana.Wakapanga mipango ya kuonana uso kwa uso...
jamani wadau naona wabantu sisi hii mitandao ya kijamii hususani facebook tunaitumia isivyo kwa mfano mtu kafiwa badala ya kumpa pole mtu ana LIKE inakuja kweli? dah!
While doing the vasectomy, Bill's doctor slipped and cut off one of his testicles. In an effort to avoid a malpractice lawsuit, he replaced Bill's missing ball with an onion.Two weeks later, Bill...
Nakumbuka enzi hizo napoa house moja na msela wangu Mhaya, ilikua balaa..yaani jamaa akinunua maziwa ya mtindi au juice hamalizi yote anaacha kidogo halafu anaweka juu ya kabati la TV au meza ya...