MGAMBO NA MMASAI(kama ni rushwa hii imezidi)

MGAMBO NA MMASAI(kama ni rushwa hii imezidi)

Kessy Hamisi

Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
24
Reaction score
8
Kuna mgambo alimkamata mmasai kwa kosa la kukojoa mahali ambapo haparuhusiwi hivyo basi akamtoza mmasai elfu tano,mmsai akatoa elfu kumi kuona vile akamwambia sina chenji we kojoa tena
 
hahaha.....! na kesho ukibanwa na haja kubwa jisaidiee hapa hapa...mgambo noma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom