Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

MTU POLI

Member
May 9, 2012
64
10
Mwl. Mnoko - huyu alikuwa akikukuta na kosa ni bakola, hakuna msamaha

Mwl. Consumer - huyu alikuwa mwl wa commerce, ilikuwa hazipiti dakika mbili bila kutaja neno consumaer

Mwl. Bunsen Banner - huyu alikuwa mwl wa chemistry


Mwl. Double entry system - huyu alikuwa mwl wa book keeping
 
moshi......huyu alikuwa na uwezo kuja mpaka kitandan kwaako na kuna mwanga na usimuone

swayo......huyu kwa kufukuza wanafunzi ilikuwa ni balaaa

myuuuu............ Mwalimu wa physics

kula chimboo...... Kula ukoko
mnyamugi..... Mtu wa mtaaani
 
moshi......huyu alikuwa na uwezo kuja mpaka kitandan kwaako na kuna mwanga na usimuone

swayo......huyu kwa kufukuza wanafunzi ilikuwa ni balaaa

myuuuu............ Mwalimu wa physics

kula chimboo...... Kula ukoko
mnyamugi..... Mtu wa mtaaani

hahahaha.vp wenyewe walikuwa wanayajua majina mliwapachika?
 
Mwalimu mkunungu
Mwalimu fyudo
The unseen is illustrated by the seen.
 
Kuna mmoja tulikuwa tunamwita handsome, alikuwa mzuri wa sura kinoma but mwendo wake utalia!, anatembea vibaya kama kafungiwa mota mbovu
 
Teacher Tody alikuwa na macho makubwa pande za Mbeya sec


Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Uyole Mbeya.
 
Back
Top Bottom