Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
Jamaa kakutana na sister du kwenye mitandao ya kijamii,yeye upo UK demu yupo dar,wamechat,kuzoeana na kuwa kama wapenzi bila kuonana na kufahamiana.Wakapanga mipango ya kuonana uso kwa uso hotelini,Jamaa akatua dar na kupokelewa uwanja wa ndege,Akamwambia dem waende hotelini,demu akasema ya nini kwenda hotel za gharama kubwa wakati kuna gest za bei ya chini,Ikabidi waende gesti,walipofika reception mhudumu alipotaja bei demu akamwambia jamaa tuachane na hii gesti kuna gesti ya bei nafuu naifahamu,wakati wapo njiani kuelekea hiyo gesti ya bei nafuu demu kaanza "tukifika usikubali kupewa chumba namba 112,kitanda chake kibovu sana,ukipewa chumba namba 214 usikubali pia feni haifanyi kazi vizuri,chumba namba 220 ni nzuri ila bafuni bomba la maji ya moto haifanyi kazi,chumba namba 510 ni nzuri uchukue ila mlango wake sometimes unagoma kufunguka.
we unadhani nini kilifwata?
we unadhani nini kilifwata?