YNNAH JF-Expert Member Dec 6, 2011 1,702 969 Jul 12, 2012 #1 Habari zenu wapendwa, mungu akipenda leo nitakuwa huko.
N Ngekewa JF-Expert Member Jul 8, 2008 7,705 1,288 Jul 12, 2012 #3 YNNAH said: Habari zenu wapendwa, mungu akipenda leo nitakuwa huko. Click to expand... Karibu tu. Bandarini tutakupokea, garini tutakutia, nyumbani tutakushughulika, utapakuliwa sebuleni ujisikie na mitaani tutakutembeza.
YNNAH said: Habari zenu wapendwa, mungu akipenda leo nitakuwa huko. Click to expand... Karibu tu. Bandarini tutakupokea, garini tutakutia, nyumbani tutakushughulika, utapakuliwa sebuleni ujisikie na mitaani tutakutembeza.