Ushawai ponea chupuchupu? Hivi ndivyo nilivyoponea chupuchupu

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,096
1. Nilifaulu nipangiwa mkoa kilimanjaro, nyumba ya ubalozi niliofikia kulikua na mfanyakazi wa ndani anatokea Tanga, Kwakua sikuwa na uzoefu sana jinsi alivyojua ananionesha nikajua ananipenda.

Siku moja usiku sana wote washalala nokapwandwa na ashk majnun, nikaamua niende nikamgongee chumbani kwake, alikua analala pekeake.

Nimefika mlangoni pale kila nikitaka kugonga moyo unasita, nilikaa kama dk tatu au tano pale mpangoni, akili ikanituma niondoke tu. Basi nikaondoka kwenda kulala.

Haikupita hata wiki nikagundua yule binti hanikubali hata kidogo, na kama ningegonga huenda angepiga kelele, ingekua ni aibu ya kiukoo, sijui ningeficha wapi sura yangu.

2. Nilikua nahitaji Laptop, nikaangalia kupatana nikakuta kuna seller anajiita “Zanzibar West”, anapost PC za HP nzuri pavilion, af bei laki nne na nusu, wakati specifications za pc nI kubwa.

Nikampigia simu kuwa naipagaje? Akasema anatuma kwenye boat ya Azam, nikatoka kwenye kwa wakala nitume, kufika wakala hana kiasi hicho cha fedha na hakuna wakala mwengine karibu, nikaamua nirudi geto na maana usikua Baadae nikakuta post ya jamaa akilalamika kuwa katuma pesa hajapokea mzigo aah akili ndo ikanijia kuwa huyu ni tapeli

Ni chupuchupu

3. Nilivaa nguo, nikaona kama kuna ubaridi hivi, kisaamua kuivua fasta, kuja kucheck ni kipande cha tandu mkubwa sana, mpaka leo siwezi weka nguo mwilini bila kuikung’uta hata niite wapi.

Ni chupuchupu
 
Nakumbuka kuna kipindi kitambo kuna demu nilienda kwao kula tunda ilikuwa mida ya mchana nipo chumbani kwake nishachapa kama bao kadhaa ndo nipo kuvaa mzee wake akatokea ghafla akawa anamuita huku anakuja chumbani kwake na sauti za we mtoto mchana huu unalal au unafanya nini aisee hii siku niliona miujiza ya wagharatia mzee aliingia mbaka chumbani lakin hakuniona aisee nilivyotoka hapo sikuwah kurudia tena
 
1. Nilifaulu nipangiwa mkoa kilimanjaro, nyumba ya ubalozi niliofikia kulikua na mfanyakazi wa ndani anatokea Tanga, Kwakua sikuwa na uzoefu sana jinsi alivyojua ananionesha nikajua ananipenda.

Siku moja usiku sana wote washalala nokapwandwa na ashk majnun, nikaamua niende nikamgongee chumbani kwake, alikua analala pekeake.

Nimefika mlangoni pale kila nikitaka kugonga moyo unasita, nilikaa kama dk tatu au tano pale mpangoni, akili ikanituma niondoke tu. Basi nikaondoka kwenda kulala.

Haikupita hata wiki nikagundua yule binti hanikubali hata kidogo, na kama ningegonga huenda angepiga kelele, ingekua ni aibu ya kiukoo, sijui ningeficha wapi sura yangu.

2. Nilikua nahitaji Laptop, nikaangalia kupatana nikakuta kuna seller anajiita “Zanzibar West”, anapost PC za HP nzuri pavilion, af bei laki nne na nusu, wakati specifications za pc nI kubwa.

Nikampigia simu kuwa naipagaje? Akasema anatuma kwenye boat ya Azam, nikatoka kwenye kwa wakala nitume, kufika wakala hana kiasi hicho cha fedha na hakuna wakala mwengine karibu, nikaamua nirudi geto na maana usikua Baadae nikakuta post ya jamaa akilalamika kuwa katuma pesa hajapokea mzigo aah akili ndo ikanijia kuwa huyu ni tapeli

Ni chupuchupu

3. Nilivaa nguo, nikaona kama kuna ubaridi hivi, kisaamua kuivua fasta, kuja kucheck ni kipande cha tandu mkubwa sana, mpaka leo siwezi weka nguo mwilini bila kuikung’uta hata niite wapi.

Ni chupuchupu

No 1 & 2 : Kuwa makini sana na maamuzi yako, utaingia kwenye shida kubwa sana siku moja, hasa mambo ya wanawake, kujamiiana sio kwepesi kama ilivyo kwa Sungura na Panya.
 
Miaka mingi kidogo kama 13 iliyopita,mama yake mshikaji Wangu,mitaa ya karakata majani ya chai karibia na uwanja wa ndege,mida ya saa nne asubuhi napita home kwao mshikaji ili nimpe ishu Fulani,nafika namkuta mama yake mshikaji,sebuleni Yuko peke yake namsalimia shikamoo ananijibu,kishikaji namuulizia mshikaji,mama mtu ananiambia huyu rafiki Yako katoka asubuhi sana na wala hajaaga,kabla sijachukua hatua ya kuondoka yule mama ananiambia afadhari umekuja njoo Kuna kazi nisaidie huku kwangu nikasita,ila nikapiga moyo konde nikamfuata chumbani kwake huku akiwa kavaa kanga tu,,huko chumbani ikawa hamisha hiki weka pale,mara hiko weka hapa,na mara anarekebisha kanga mara kwa mara kama anaitoa na kuifunga tena na Kila mara alipokuwa anafanya hivyo na Mimi nampiga jicho la kiwizi wizi,mwisho wa siku akaniambia hujakua tu.Nikaduwaa Ile mbaya kuja kushtuka kashanishika kwenye konga,aisee nilimla yule mama sitasahau Ile siku nimepiga show kama nusu saa hivi nikamaliza na baada ya hapo nikavaa fasta nikatoka bila hata ya kumuaga,Ile nafika getini tu mshikaji huyu hapa duh,ilikuwa noma sana nikawa najishtukia tu ila jamaa hakuelewa chochote kitu,baada ya story mbili tatu nikasepa siku zilizofuata yule mama akanitafuta tukawa tunaenda kula raha maeneo ya chanika,,aisee nimemla sana yule mama mpaka nikaja achana naye miaka ya 2018,na mpaka Leo mshikaji hajui,ila bahati mbaya yule mama alifariki mwaka Jana.
 
1. Nilifaulu nipangiwa mkoa kilimanjaro, nyumba ya ubalozi niliofikia kulikua na mfanyakazi wa ndani anatokea Tanga, Kwakua sikuwa na uzoefu sana jinsi alivyojua ananionesha nikajua ananipenda.

Siku moja usiku sana wote washalala nokapwandwa na ashk majnun, nikaamua niende nikamgongee chumbani kwake, alikua analala pekeake.

Nimefika mlangoni pale kila nikitaka kugonga moyo unasita, nilikaa kama dk tatu au tano pale mpangoni, akili ikanituma niondoke tu. Basi nikaondoka kwenda kulala.

Haikupita hata wiki nikagundua yule binti hanikubali hata kidogo, na kama ningegonga huenda angepiga kelele, ingekua ni aibu ya kiukoo, sijui ningeficha wapi sura yangu.

2. Nilikua nahitaji Laptop, nikaangalia kupatana nikakuta kuna seller anajiita “Zanzibar West”, anapost PC za HP nzuri pavilion, af bei laki nne na nusu, wakati specifications za pc nI kubwa.

Nikampigia simu kuwa naipagaje? Akasema anatuma kwenye boat ya Azam, nikatoka kwenye kwa wakala nitume, kufika wakala hana kiasi hicho cha fedha na hakuna wakala mwengine karibu, nikaamua nirudi geto na maana usikua Baadae nikakuta post ya jamaa akilalamika kuwa katuma pesa hajapokea mzigo aah akili ndo ikanijia kuwa huyu ni tapeli

Ni chupuchupu

3. Nilivaa nguo, nikaona kama kuna ubaridi hivi, kisaamua kuivua fasta, kuja kucheck ni kipande cha tandu mkubwa sana, mpaka leo siwezi weka nguo mwilini bila kuikung’uta hata niite wapi.

Ni chupuchupu
Nilikata moto katikati ya barabara.
 
Ungepewa kesi ya kubaka, unless mngeyamaliza kifamilia
 
Miaka mingi kidogo kama 13 iliyopita,mama yake mshikaji Wangu,mitaa ya karakata majani ya chai karibia na uwanja wa ndege,mida ya saa nne asubuhi napita home kwao mshikaji ili nimpe ishu Fulani,nafika namkuta mama yake mshikaji,sebuleni Yuko peke yake namsalimia shikamoo ananijibu,kishikaji namuulizia mshikaji,mama mtu ananiambia huyu rafiki Yako katoka asubuhi sana na wala hajaaga,kabla sijachukua hatua ya kuondoka yule mama ananiambia afadhari umekuja njoo Kuna kazi nisaidie huku kwangu nikasita,ila nikapiga moyo konde nikamfuata chumbani kwake huku akiwa kavaa kanga tu,,huko chumbani ikawa hamisha hiki weka pale,mara hiko weka hapa,na mara anarekebisha kanga mara kwa mara kama anaitoa na kuifunga tena na Kila mara alipokuwa anafanya hivyo na Mimi nampiga jicho la kiwizi wizi,mwisho wa siku akaniambia hujakua tu.Nikaduwaa Ile mbaya kuja kushtuka kashanishika kwenye konga,aisee nilimla yule mama sitasahau Ile siku nimepiga show kama nusu saa hivi nikamaliza na baada ya hapo nikavaa fasta nikatoka bila hata ya kumuaga,Ile nafika getini tu mshikaji huyu hapa duh,ilikuwa noma sana nikawa najishtukia tu ila jamaa hakuelewa chochote kitu,baada ya story mbili tatu nikasepa siku zilizofuata yule mama akanitafuta tukawa tunaenda kula raha maeneo ya chanika,,aisee nimemla sana yule mama mpaka nikaja achana naye miaka ya 2018,na mpaka Leo mshikaji hajui,ila bahati mbaya yule mama alifariki mwaka Jana.
Daa hii story nimedindisha
 
Mi niliponea chupuchupu, nilienda kumtembelea bint fulani kwenye apartment yake, sasa umeme ulikua umekata nikakosea floor nikainga chumba sicho,
Cha kushukuru mungu wakwanza kukutana nae alikua ni mtoto eeh nilitoka mbio sana. Sipati picha ningejilaza ingekuaje sijui wangefikiria nini.
 
Siku niliyo kula Sana hadi nikawa nashindwa kuhema vizuri.
Kuja kuambiwa nili zimia, aisee ninge enda mimi

Kuvimbiwa, kijijini kwetu ukivimbiwa unapandishwa juu ya tembe unaninginizwa ili uutapike msosi wote, yaani unatapishwa kwa style ya kuning'inizwa.

Sijawahi shuhudia hilo ila tushahadithiwa sana hicho kitendo hadi tunakiona kina image fulani mbaya ambapo kila mtu anaombea kisimkute.

Baadhi ya watu waliowahi kufanyiwa hivyo ambao tulikuwa tunapewa mifano kutoka kwao, tulikuwa tunawatafsiri wenye tabia mbaya ya ulafi ambapo wanakula hadi kupitiliza(kuvimbiwa).
 
Kula ni starehe, so iheshimiwe😃🤣.
👉Naeza kula chapati za maji 20, kuku hata wawili.
 
Miaka mingi kidogo kama 13 iliyopita,mama yake mshikaji Wangu,mitaa ya karakata majani ya chai karibia na uwanja wa ndege,mida ya saa nne asubuhi napita home kwao mshikaji ili nimpe ishu Fulani,nafika namkuta mama yake mshikaji,sebuleni Yuko peke yake namsalimia shikamoo ananijibu,kishikaji namuulizia mshikaji,mama mtu ananiambia huyu rafiki Yako katoka asubuhi sana na wala hajaaga,kabla sijachukua hatua ya kuondoka yule mama ananiambia afadhari umekuja njoo Kuna kazi nisaidie huku kwangu nikasita,ila nikapiga moyo konde nikamfuata chumbani kwake huku akiwa kavaa kanga tu,,huko chumbani ikawa hamisha hiki weka pale,mara hiko weka hapa,na mara anarekebisha kanga mara kwa mara kama anaitoa na kuifunga tena na Kila mara alipokuwa anafanya hivyo na Mimi nampiga jicho la kiwizi wizi,mwisho wa siku akaniambia hujakua tu.Nikaduwaa Ile mbaya kuja kushtuka kashanishika kwenye konga,aisee nilimla yule mama sitasahau Ile siku nimepiga show kama nusu saa hivi nikamaliza na baada ya hapo nikavaa fasta nikatoka bila hata ya kumuaga,Ile nafika getini tu mshikaji huyu hapa duh,ilikuwa noma sana nikawa najishtukia tu ila jamaa hakuelewa chochote kitu,baada ya story mbili tatu nikasepa siku zilizofuata yule mama akanitafuta tukawa tunaenda kula raha maeneo ya chanika,,aisee nimemla sana yule mama mpaka nikaja achana naye miaka ya 2018,na mpaka Leo mshikaji hajui,ila bahati mbaya yule mama alifariki mwaka Jana.

hujakua tu
 
Kula ni starehe, so iheshimiwe.
Naeza kula chapati za maji 20, kuku hata wawili.
Hilo sio tatizo, tatizo utakapovimbiwa na ukahitaji msaada.

Kuna maza fulani huko kijijini, kila mwaka kuanzia February huwa ni msimu wa mazao mbalimbali kuiva kama mahindi, maboga shambani.

Sasa kuna siku alipika futari ya mahindi mabichi akachanganya na maboga. Vyote hivyo vikiwa vibichi yaani kachuma shambani.

Futari aliipika kwa ustadi wake ikaiva ikawa ma ladha ya kiana yake aliyoitarajia, kama tunavyojua mpishi lazima aonje ili kubaini ubora wa mapishi yake. Alipoonja akakuta kitu kimetiki, akiwa huko jikoni akajipakulia kidogo na kuanza kula.

Muda wa mezani kwa pamoja na familia na yeye akaunga tela tena.

Sasa kisanga kikaanza, baada ya kumaliza akiwa kashindilia tumbo kama kiroba cha viazi mviringo au tenga la nyanya, akaanza kuhisi hali sio ya kawaida. Akitaka kukaa anaona bora ajilaze, akijilaza anahisi bora akae, kukaana napo ni shughuli, kusimama haiwezekani.

Alituhadithia bana kuwa aliteseka kutokana na hali hiyo maana alikuwa amevimbiwa sana ingawa haikufikia ile hali ya kushindwa kuongea na kusimama(hii hali ikifika ndio huwa msaada wa haraka unahitajika kwenda kumtapisha ili kuokoa maisha yake maana akiachwa lazima akate moto).
 
Back
Top Bottom