JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
lete majina ya bar au pub yachekeshayo njia ya tandale kuna shikamoo bar imepakana na marahaba bar , mburahati kuna simba kapakatwa pub! lete
0 Reactions
64 Replies
21K Views
naomba orodha ya sehemu muruwa kwa ajili ya kula honey moon ndani ya arusha. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
0 Reactions
10 Replies
2K Views
BADILI TABIA Habari zenu wana JF popote mlipo. Kama nilivyowaahidi wiki iliyopita. Katika kipindi cha leo, tutakuwa na BADILI TABIA mjengoni ambaye baada ya kunizungusha sana, hatimaye amekubali...
4 Reactions
112 Replies
7K Views
Ya kuchemshwa na hii kitu natural wapi na wapi? Nothing added! Pita pita yangu wiki iliyopita nilikutana na kitu adimu baada ya mmoja kunitoa ushamba kwamba hapa ndio kitu natural badala ya ile...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Kila siku najiluza swa hili, hivi kwa nini mwanaume akitembea na bosi wake wa kike mwishowe kazi huharibika tofauti na wasichana wanapotembea na mabosi zao wa kiume?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa...
28 Reactions
123 Replies
10K Views
Lalalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Pombe si mali lakini ni mali kauli Usiige kama kichwa chako ni nazi Nyooosha mikono juu kama unapenda unazi LOH! kESHo sIku ya KAzi laKINI MAisha yaendeleeeee...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
I really don't know how you guys always feel when you are chatting with someone you just met and you found yourself doing all the asking? In the wake of that, How do you feel at such moment? To...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Nimefurahi kupata taarifa kuwa kwa sasa Serikali imewabana wawekezaji na hivyo wanalipa mrahaba 4% badala ya 3% (kwa precius metal) tuliyokuwa tunalalamikia.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wale wadada wanaochonga sana humu chit chart, saa hizi weshafichwa na waume zao, kwishnehi, hakuna hata mmoja online. kutwa kuchapa umbea humu saa hizi kimyaaa.... Chezea wanaume nyie.. Mida...
8 Reactions
45 Replies
7K Views
nikianza na mimi,nikibaki na 100 million nachanganyikiwa kwa mawazo naona niko broke
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Mwlm alikuwa anafundisha mada ya vitendawili,akamwambia juma tega kitendawili..JUMA:kitendawili?WANAFUNZI:tega.JUMA:nivue nguo nikupe utamu?MWALIMU:mshenzi sana nani kakufundisha vitendawili vya...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
A man called his law firm and asked the receptionist if he could speak to his lawyer, Mr. Smith. She replied that she was sorry, but his lawyer was dead. The next day the man called again...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A VERY TOUCHING STORY* A boy was walking home from school, he saw a lost puppy, he bent down to touch it, then he picked it up and touched it, he touched it again, he walks home and...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Mzungu mmoja alifika benki na nyani wake, akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu", na yeye akaingia benki. Wale waafrika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Can I Borrow $5? A woman came home from work late, tired and irritated, to find her 5-year old son waiting for her at the door. SON: 'Mummy, may I ask you a question?' MUM: 'Yeah sure...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
hapo zamani za kale palitokea................
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mmojawapo ya vitu vinavyonifanya nisiwe "stable" kiuchumi ni utegemezi wa "extended family". Kuna wadogo zangu, wazazi, wajomba, mama wadogo nk. Mizinga ni mengi mno. Yani usiposaidia maneno mengi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Eti ni kweli kwamba jicho la mvulana / mwanume liko Fasta kuliko google pale linapo search msichana?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…