Mrabaha ni 4% na sio 3% tena!!!!!!!!!!!!!!!

Mrabaha ni 4% na sio 3% tena!!!!!!!!!!!!!!!

sumangasala

New Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
3
Reaction score
2
Nimefurahi kupata taarifa kuwa kwa sasa Serikali imewabana wawekezaji na hivyo wanalipa mrahaba 4% badala ya 3% (kwa precius metal) tuliyokuwa tunalalamikia.
 
Naona tokea Serikali imeanzisha Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) mambo yameanza kunyooooka, kwani nimeona pale mgodini Geita jamaa wakihaha kulipa Kodi ya mapato, hata jamaa yangu wa Rosolute alisema wameishiwa mbinu imebidi waanze kulipa tu. Jamaa wanabana kila kona hadi wabongo tumeanza kuthaminika sasa maana huko nyuma wawekezaji walikuwa wanatuona mabwege sana sisi ndani ya nchi yetu!

Komaeni zaidi TMAA wabananisheki kila kona na nimesikia pale Arusha jamaa mnawabania ku renew contract mpaka watoe ingalau asilimia 50 kwa wazawa , komaeni imekaa vizuri hiyo!
 
Nimefurahi kupata taarifa kuwa kwa sasa Serikali imewabana wawekezaji na hivyo wanalipa mrahaba 4% badala ya 3% (kwa precius metal) tuliyokuwa tunalalamikia.
huku sio kwake....
 
Nimefurahi kupata taarifa kuwa kwa sasa Serikali imewabana wawekezaji na hivyo wanalipa mrahaba 4% badala ya 3% (kwa precius metal) tuliyokuwa tunalalamikia.

nikajua asimilia za marahaba mambo ya salamu hivi vitu hili sio jukwaa lake bana ahahaaaa....
 
Back
Top Bottom