Napenda sana kufuatilia hadithi za ujasusi na Intelijensia ni Msimuliaji gani aliye bora katika eneo hili? Na katika digital platforms anapatikana kwa jina lipi?
Bila hofu yoyote mtakua fresh nyote ambaye hayuko poa pole yake
tuambie ni mkoa gani ambao una ongoza kuwa na watoto wakali a.k.a wazuri (warembo)? Hapa Tanzania
Karibuni sana
Sijafikaaa hata lugalo
Nkakumbuka tushike sana neno la Mungu
Nakunja kona ya Kawe nkakumbuka math 2.4
Waovu watakimbia bila kukimbizwaa
Nimerudi zangu najimwagia maji ya upako
Asbh njema wapendwa
Rosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?
Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu...
Ukiwa unahitaji Faraja huwa unakimbilia wapi?
Wengine Wanakimbilia kwa Mama zao au Baba zao.
Wengine kwa wake zao na waume zao.
Wengine wakichart Jamii forum wanapata faraja na kujifunza mengi...
Kwa mara ya kwanza napost ndani ya jukwaa hili,,wenyeji hope mko poa kabisa
Sifa ya wanaume ni misimamo,kama mwanaume hana msimamo basi kuna shida pahala,mwanaume akisema jambo linatakiwa liwe...
Habari za muda huu wanaforums.
Ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo kama heading inavyojieleza.
Siku moja hivi nilikuwa bored sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.