Si kama ujio gesi pande za mtwara, nakuja kama sijui nani vile nakuja kama nani kirusi, Baada ya kukaa selo kwa muda usiovumilika hatimaye I'm out. Sijui nianzie wapi ila:
i. Kesho jumatano...
WARAKA WA KWANZA WA C.T.U KWA WANA CHIT CHAT WOTE
Wakuu habari zenu poleni kwa majukumu ya siku nzima
Leo sina nia ya kuigawanya chit chat wala sina nia ya kuipa msuko suko la hasha ...
Ina maana wanakuwa hawana birthday this year au uibadilisha kuwa tare 28.
Maana my la aziz wangu kazaliwa tar 29/02 alafu kanikumbusha bithday yake imekaribia. Sijamwelewa yaani.
Party ikiwa inaendelea, vinywaji na maongezi yakikolea huku yakisindikizwa na muziki mwanana, ndipo hapo nikapata fursa bin wasaa wa kumsogelea bibie mmoja.
Maongezi ya hapa na pale yakatufanya...
UNAWEZA KUDHANI NI MWANAUME SIO??
Anaitwa Renee Toney mwanamke body builder(mjenga misuli)na mnyanyua vitu vizito.Renee au Rene wanavyomfupisha asili yake ni Brazil lakini ni raia wa...
It hurts me to say this, but am thankful to Zinduna's Talk Show because imeniwezesha ku find out what kind of a TERRIBLE MAN you are Erick!
Bishanga alinipa warning mara nyingi nikapuuzia. And...
Muarabu mmoja alikuwa napita sehemu fulani saa mbili usiku, akawaona watoto wanapenyeza vidole vyao baina ya shata na frame ya mlango wa nyumba yao,yule mwarabu akawakataza wale watoto kwa...
watanzania wavivu jmn!... hebu skia hii wezi 2 walivamia bank na kufanikiwa kuiba mabunda ya hela kufika nyumbani mmoja akamwambia mwenzake "hebu zihesabu tujue ni sh ngapi" mwenzie...
Hatua za mwanzo na mchakato ndio unaanza, baraka zenu zenu na maombi yenu katika kurifanikisha hili.
gfsonwin my mama mpenzi.
Baba V mwenyekiti
Donn wa ukweli kaka
Ronn M my bother
Chimbuvu...
Mtoto alimuuliza baba yake eti baba ukikuta noti ya sh.10,000 na sh. 5,000 utaokota ipi? Baba akajibu we ----- nini? Naokota ya sh. 10,000. Mtoto: We ndo -----! mimi naokota zote!!!
Tarehe 29/January 2011 ndiyo ilikuwa siku nliyojiunga Jamiiforums na leo natimiza miaka miwili. Si mingi lakini kwa niliyoyapata humu nnawez kusema nina full package ya faida, hivyo kwangu miaka...
Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party.
Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali.
Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani...
Mimi ni mpya humu chit chat, nauliza kuhusu utaratibu....nini hasa kinafanyika huku, isije kuwa watu wana cheza disco humu mimi nikaanza maombi! Nawasilisha
Sent from my BlackBerry 9700 using...
daktari aliamua kupima maendeleo ya wagonjwa wake wawili wa akili. akawapa kioo na kuwambia wakiangalie na kutambua sura watakayoiona.
CHIZI 1; (huku akiangalia kioo) hii sura kama naijua vile...
huna hata mia mfukoni...afu unamtokea dada mzuri ana uwezo,ana push usafiri wake,ila kwa kuwa wewe ni iron heart unaenda kwa confidence unamueleza ziki zako ana kusikia na anakupa moyo wake,afu...
Kuna jamaa alitaka kumuumiza mpenzi wake kwa masihara tu, kwakua wapo mbali mbali mikoani, huyo jamaa akamwandikia mpenzi wake,(nimepata mpenzi mwingine wewe sikutaki tena! kwahiyo ile picha...