JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
KInyozi mmoja alikuwa na salun katika ghorofa ya juu, aliamua kuhamia chini akaweka tangazo hili "KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI". Wateja wote wakamkimbia.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kkk
Baby is sound asleep while music is blasting, Until Her Favorite Song came on (FUNNIEST VIDEO) « In The Loop
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Kula 2. Kunywa 3. Kunya 4. Kulala 5. Kusoma 6. Kucheza 7. Kusali 8. Ku . . . . . . . . GO ON
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Je tuweke picha za mambo yalivyokuwa?maoni tafadhali
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wachaga Habari zenu Banaaaaaaaa! Source: Cheka Upate Afya - facebook!
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimeamua niwawekee picha maana nitapotea kwa muda kidogo...... Amri kuu Pendaneni kama mungu anavyowapenda weekend njema..... XXXXXXXXXXXXXX
4 Reactions
16 Replies
2K Views
to Preta
5 Reactions
34 Replies
2K Views
kuna masai mmoja alikuwa nje ya mlango wa kanisa amekaa wakati ibada inaendelea mara mchungaji akapita mlangoni akamuona akamuuliza YERO mbona uko nje MASAI; unasani mi ni mjinga nimesikia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
1.Unamnunulia mke wako SIMU mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA, Huo ni mgawanyo wa majukumu 2.Unamlipia mke wako ADA ya Chuo, mwanaume mwenzako anamlipia kodi HOSTEL, Huo ni mwingiliano wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Yaani tabia zao kama watu, hasa kipindi hiki cha mvua na ubaridi utakuta wanarandaranda mitaani wakifukuzana mitaani na kufanya vitendo vya kuongeza uzao wao. Utakuta wanatoka kwa wanaowafuga...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa wale mnaowaita wenzenu jembe nawashauri muache maana huu msemo kwangu nauchukulia kama tusi Hebu jaribuni kufikiria jembe liko je au lina sifa gani. Msikubali jamani kuitwa jembe mtu...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
sina haja ya kuleta mada hii kiuchonganishi... laa ila ninataka kujuzwa jambo...nina jamaa yangu mpemba hapa amenipa mpya kwa kusema ukitaka kumugundua mzenji basi muangalie kisogoni. Anasema...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natafuta wadada wanaopemda mpira wa kwenda nao kuona hii mechi ,nitawalipia kiingilio na nauli wahi hapa ddc kariakoo nawasubiri
0 Reactions
9 Replies
1K Views
helloooooow JF Chit-chatters!!! Heshima kwenu nyote! Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua fursa hii kuwaSHUKURUNI nyote kwa dhati kabisa ya moyo wangu kwa kushehereka nami kutimiza miaka...
18 Reactions
137 Replies
49K Views
Wapendwa wana chit chat ni dhahiri kwamba wote tumekuwa mashuhuda wa kilichokuwa kikiendelea katika iliyokuwa ndoa ya loya Ruttashobolwa na Madame B huku kwa upande mwingine ikimuhusisha...
2 Reactions
91 Replies
6K Views
Ni hayo tu wale mnaonitag.
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Kuna Kampuni moja ilimuajiri mlinzi kipofu.Mashariti ya kupita katika geti la Kampuni ni lazima uwe kipara. Unapotaka kupita yule mlinzi anakupapasa kichwa ILI KUHAKIKISHA KWAMBA WEWE NI...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ilikuwa ni katika sherehe za Birthday ya Paloma, pale ambapo wadau wawili (Majina yanahifadhiwa) walipopishana lugha, haijulikani chanzo ni nini, lakini taarifa zisizothibitishwa zinadai kwamba...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Wadau wa Chit-Chat nikwamba mja(Mora) kaniona nimeweza kuunganishwa na amu, baada ya nivea kuwa mtoro katika sherehe tunazoalikwa siku ya kuwambia mtajulishwa ila kama kuna mwenye pingamizi...
7 Reactions
92 Replies
5K Views
Habari wakuu , siku moja mfalme aliwaalika wanakijiji kuja kwake kwa ajili yakuwapa changamoto ili aweze kumwoza mtu atakaye vuka bwawa la mamba mpaka upande wa pili na kumpa bint yake kipenzi ...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…