sina haja ya kuleta mada hii kiuchonganishi... laa ila ninataka kujuzwa jambo...nina jamaa yangu mpemba hapa amenipa mpya kwa kusema ukitaka kumugundua mzenji basi muangalie kisogoni. Anasema kiasili wao hawana visogo kwa sababu kuu mbili alizonipa,mosi anasema wakiwa wadogo wanapakwa mafuta ya karafuu ambayo husababisha visogo kuwa flat,pili watoto hulazwa mikekani/mazulia maana asilimia kubwa hawana vitanda. Je wadau ni ya ukwel haya?