JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanandoa wameoana,,siku ya pili tu wamepelekana kwa padri... padri akawauliza nini tena? MKE AKASEMA: nilifikiri iko hivi ==========> ama hivi ======> kumbe hivi ==> Bora talaka... MUME...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tofauti ya maisha; Eti ni dhahiri kuwa kuna tofauti kubwa ya maisha kulingana na maeneo, eti na watu wanaoishi huwa na tabia kulingana na maeneo yao: mfano Mke anayeishi Masaki akimwagiza mumewe...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Whats up ma pipo
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya KIJITA kwenye simu na mambo yatakuwa hivi: phonebook-ECHITABHO. Names-AMASINA. Time-OMWANYA. Ringtone-LILILILO. Settings-OMWINYANJO...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Teh teh teh teh
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Kwa wale ambao hawawajui Shark na Madame B, basi leo nimeamua kuwaletea picha zao muwaone.
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi ni member mpya humu ChitChat,lakini katika Wavulana Woote Humu ChitChat nimempenda mmoja tu, nae ni Donn. Donn nahitaji Penzi lako kaka. Donn nahitaji faraja yako kaka. Donn nakupenda...
4 Reactions
175 Replies
9K Views
Jamaa kaingia chooni na kopo lake la maji lakini kama kawaida bila kipande cha sabuni.Choo hiki kina mlango mzuri na maarufu- gunia bovu ambalo mtu hawezi kugonga na hivyo inabidi uwe makini...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya Kisambaa kwenye simu na mambo yatakuwa kama ifuatavyo ; phonebook-KIFYOMELO CHA SIMU Names-MAZINA Time-MISHI Ringtone-UFEFEZI Settings-SHIMIKO...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Siku moja namba 0 alikutana na namba 8 namba 0 akamwambia namba 8 huo mkanda uliouvaa mbona umekubana sn haukumizi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msikie mwehu huyu, alienda kwa rafiki yake kupiga story, mara mvua kubwa ikanyesha mshkaji ikabidi amwambie rafiki yake usijali utalala hata hapa sebuleni Lea kuwa mvua kubwa! Jamaa akasema poa...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Jinsi mambo yanavokuwaga mwanzo mpaka mwisho wa mitihani ya chuo kuna kila sababu ya kushukuru kujaaliwa kuianza mpaka kuimaliza salama huku matumaini ya kutonaswa yakiwepo.
0 Reactions
2 Replies
834 Views
Kwa mamlaka niliypojipa mwenyewe (naomba msiniulize lini na wapi) na kwa kulinda heshima ya ndoa zinazofungwa hapa chit chat kila siku, mimi Voice of Wisdom napendekeza marekebisho yafuatayo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
1. 'Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe' - Mramba. 2. 'Foleni Dar ni ishara ya maisha bora' - JK. 3. 'Acheni wivu wa kike' Mkapa. 4. 'Asiyeweza kulipa nauli kwenye kivuko apige mbizi' Magufuli...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Panga Pangua, Piga ua, Fanya juu chini, Chini juu, Hata kwa ndumba, GUNIA LA MKAA HALIWEZI KUUZWA SUPERMARKET!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni utamaduni wetu kupiga hodi pia kuaga wakati wa kuondoka...Dah, natamani sana kuendelea kuwepo CC na JF kwa ujumla. Lakini majukumu yameniandama, lazima nisepe kwa muda... Nitawamiss sana ndugu...
10 Reactions
171 Replies
8K Views
Jamaa alitaka kuonesha anajua kidhungu "yestaday I saw u at ze maize shop..(Jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six (uliponiona ulianza kusitasita) u ran away n decide...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
kinyozi alihamisha ofisi kutoka ghorofani na kuja chini akaweka tangazo; kinyozi aliekua ananyoa juu sasa ananyoa chini, mara wateja wakamkimbia, sasa kosa lake nini?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Zimetengenezwa na material dizain ya msasa..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mc: sasa nawapa sifa kubwa ya bi harusi.. Tangu namfahamu yeye huwa havai nguo za ndani.. . . . . Watu wote ukumbini wakaduwaa, macho yakamtoka bwana harusi, bi harus akaanza kutetemeka.. Mc...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…