Head current JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 479 Reaction score 128 Feb 8, 2013 #1 Siku moja namba 0 alikutana na namba 8 namba 0 akamwambia namba 8 huo mkanda uliouvaa mbona umekubana sn haukumizi?
Siku moja namba 0 alikutana na namba 8 namba 0 akamwambia namba 8 huo mkanda uliouvaa mbona umekubana sn haukumizi?
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Feb 8, 2013 #2 namba nane akamjibu si bora mimi kuliko wewe una kitambi mwili mzima sasa utavaaje mkanda.