Top 10 ya kauli zenye utata kati miaka ya 2005-2012.

Top 10 ya kauli zenye utata kati miaka ya 2005-2012.

GOLOKO

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
270
Reaction score
698
1. 'Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe' - Mramba.
2. 'Foleni Dar ni ishara ya maisha bora' - JK.
3. 'Acheni wivu wa kike' Mkapa.
4. 'Asiyeweza kulipa nauli kwenye kivuko apige mbizi' Magufuli.
5. Baada ya kutumia helkopta ya jeshi kwenda nayo kwao urambo 'mlitaka nipande punda' Kapuya.
6. 'Wabunge wa Dar wanafikiri kwa kutumia makalio' - Masaburi
8. 'Mnauliza mvua kwani mm waziri wa mvua' Wassira.
9. 'Ngeleja kila siku ananinunulia chai wakati nina uwezo wakujilipia'- Anne Kilango.
10. 'Graduates msio na kazi kafugeni kuku, biashara hii inalipa sana '- Mahiza.
ONGEZEA YA KWAKO UNAYOYAKUMBUKA...!
 
Liwalo na liwe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wamechukua vijisenti dola 4500 na milioni kadhaa wakaacha bunduki ambayo ingekuwa mtaji. Wezi wa Malima moro.
 
Tutauza nyumba sana.Kila mwaka tutakuwa tunajenga,tunauza,tunajenga,tunauza-MAGUFULI
 
Hivi ile ya kila mtu atabeba msalaba wake ilikuwa ya CD - Cleopa David Msuya au ilikuwa ya nani vile?
 
Heri Dkt Slaa aingie ikulu kuliko Tundu Lissu kuingia bungeni - JK
 
Kama nyani wanakula mahindi yenu na nyie waleni?aliye kua waziri wa afrika mashariki.
 
gomeni, tutawapiga halafu tutakaa mezani kuzungumza mkiwa na plasta-Jakaya kwa walimu
 
Wanafunzi kupata mimba ni kiherehere chao.- J K
Kigoma itakuwa Dubai ya Africa. - J K
Nikitoka madarakani niitwe bwana maendeleo. - J K
 
. . . Ni vijisenti tu (1,000,000 $) aliyekuwa waziri wa JK wakati akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu dola milioni moja alizohifadhi kwenye visiwa vya JERSEY-UINGEREZA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom