Greetings

Greetings

Alikua marekani mwenzetu!amerudi mpaka salamu kabadilisha!

Uuuwiii............ama kweli ndio swaga za huko.... hiyo salamu tu inakudhihirishia, wewe Kutolie hebu njoo useme hiyo swaga ya salamu ni ya wapi
 
Last edited by a moderator:
Mkisema Swaga mnanikumbusha mbaliiiii! enzi hizo nikiwa mfugaji! nime Swaga sana ng'ombe kwenda malishoni! lol!!
 
Back
Top Bottom