JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Question to Men around Here,unapata Chili ana dem tajiri lakini Hataki kumuomba Msaada anapokua na tatizo hivyo huyo mwanaume anakupenda kweli Au Ndio kusema anaogopa kujishushia hadhi Hebu nisaidieni
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza nimeota nipo US nasoma. Nikapata mtoto mkaliiii black american. Ile naanza kuota kuanzisha biashara, usingizi unakatika. Muda wa job umefika. Ndoto hii ina maana gan?
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa darasa la pili alimuuliza mwalimu wake: hivi ukichanganya OMO na FOMA zitatoa POVU?. Mwalimu akajibu kwa hasira: swali gani hilo la KIPUUZI? Lazima zitatoa POVU kwa sababu zote ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani hapa ninapoandika ujumbe huu niko njiani nikielekea airport kupanda fastjet. Naomba mliowahi fly na hili pipa niambieni nitarajie nini. Angalizo : Sio mara yangu ya kwanza kukwea pipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
katika daladala kitoto cha nursery kikawa kinaimba..: "Baba angekuwa jogoo,na Mama kuku,mm ningekuwa Kifaranga"... Abiria wote kimya..! Kikaendelea tena kuimba..:"Baba angekuwa Beberu, na Mama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nikiwa nataza ITV Taharifa ya habari ya 6:00pm mwisho wakaanza tangaza watu waliopotea. Wakwanza mpaka wa mwisho wote ni mabinti tu kati ya umri wa miaka 17-24 na mmoja akionesha kuwa kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nazungumzia huku ambako huwa tunasuswa na viongozi wetu hapa nyumba mdele bar nyma ya nyumba kuna mateja wanafanya yao kushoto taro la maji machafu limepta kulia ukpga mswaki mate uwanja wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ujinga ni kumuulza mlinz "et umeamkaje"........?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwizi alibomoa nyumba akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka,akaonja kimoja akaona ni kitamu kina chumvi chumvi! Akafurahi akakaa chini akala vyote alipomaliza akaangalia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
wana JF mnawasaidiaje wa2 hawa: wakwanza ana; CIV _ F, KISW_F, HIST_F, GEOG_D, ENG_D, BIOS_D, PHYS_D, CHEM_D, MATS_C. Wapili ana; KISW_F, CIV_F, GEOG_F, BIOS_D, CHEM_D, PHYS_D...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Hii menu nimeikuta kwenye mgahawa nilioenda kula leo MENU 1. Piza ya utumbo wa kuku 2. Baga ya miguu ya kuku 3. Piza ya mapupu 4. Pasta ya makongolo. Hii ndio spesho menu ya mchana huu
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Binafsi naipenda sana JF,maana nimeichukulia kama sehemu yangu ya kupunguzia stress. Ila kuna baadhi ya I'D ambazo nahisi wahusika wake wanalandana na I'd zao kitabia. Binafsi kuna members ambao...
7 Reactions
236 Replies
12K Views
This wariah (Somali) man walks into a gun shop and asks to buy a gun. The gun shop owner asks, "What for?" He says, "To shoot some cans." So he walks away with the gun with some few ammunition...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Little Johnny : “I’m gonna tell you a story with 4 parts. Remember that, 4parts!” KR : “Alright..” Little Johnny : “Okay, I’m gonna start with part 1. There was a husband and a wife, they were...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
A bus going from Arusha to Babati, the phone of the girl next to me rings, she picks it and says’ "Honey, I'm on my way to Moshi for the burial, I'll call you when I get there". Another phone...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
1. J.Kikwete sêc school. 2. Pius Msekwa sec school, 3. Kambarage sec school, 4. Ben mkapa sec school, 5. Yusuph makamba sec school, 6. Salma Kikwete sec school, 7. Jose mungai sec school...
5 Reactions
56 Replies
36K Views
Dear Staff, Due to the current financial situation caused by the slowdown of economy, Management has decided to implement a scheme to put workers of 40 years age and over on early retirement...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbwa koko wawili walikuwa wanasaka chakula kwele jalala, mara ikapita Land Rover ya FFU na ndani yake kuna mbwa wa polisi; Mbwa koko mmoja akaangalia kwa uchungu kisha akamwambia mwenzie, '...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Mtoto wa miak 5 amwambia mwenzake ntakuoa uwiiii
0 Reactions
4 Replies
2K Views
EPUKA KAULI HIZI PINDI UPANDAPO DALADALA. >Nitakupa >Atakupa mbele >Hujapewa mbele >Utapewa nyuma >Nitakupa nikikaa vizuri >Ngoja isimame nikupe >Subiri asimamishe nikupe >Hivi nilivyokaa...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Back
Top Bottom