Jamani nilikuwa nawaza hivi kama kuna antivirus basi pia kuna uwezekano akawepo ankovirus, fadhavirusi, madhavirusi................ nisaidieni kuwakumbuka wengine.
Wadauwenza!
Nauliza hivi hili neno "KAMA NINI" Lina maana gani ?
Utasikia ;
> Tamu kama nini! > Chungu kama nini !
> Kali kama nini !
> Mkarimu kama nini !
> Jeuri kama nini !
> M'bishi...
Jamaa mmoja alienda kufanya kazi kama house boy. Kwa mara ya kwanza alikutana na mama mwenye nyuma akamuuliza jina lake akamwambia naitwa mume wangu, alipokutana na binti wa mama mwenye nyumba...
ikiwa wiki inaelekea ukingoni nnaomba kwa heshima na taadhima nitambue maneno yaliyoshika kasi wiki hii, ni LIBOLO na ZOMBIE, akaaa mie sitaki stress weka na wewe ya kwako.....
Mlevi mmoja alitangaza baa kuwa ana wasiwasi kua yeye ni mungu.
Akaulizwa kwanini???
Mlevi: sababu nikifika mtaani kwangu nasikia watu wanasema
"mungu wangu amelewa tena...!!"
Nikifika...
Hivi ndivyo mwanafunz wa form four 2012 alivyojibu kwenye pepa ya Kiswahili!
Swali:Eleza hatua za kuandaa MDAHALO.
Mwanafunz akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi...
1.Unauchukua mdahalo wako...
Kuna Babu mmoja Kijijini kwetu kila mwaka analeta fuja na hashtakiwi
Anawadanganya wototo wa kiume wampelekee maji porini
Wakishafika anawakamata na kuwapiga kasha anawakatakata kwa kisu hadi...
Mlevi mmoja aliingia kwenye matatu nakukaa siti ya mbele, akaweka begilake kwenye siti kulia kwake kishaakalala.Baada ya muda akaingia mlevimwingine akatoa lile begi, akaketiyeye...naye...
Kila mtanzania anafatilia siasa ya kenya na unakuta anamjua kila mgombea wa kenya, swali ni je? wakenya nao huwa wanafatilia siasa zetu na kuwajua viongoz wetu???
nipo some where, napumzika kidogo baada ya mihangaiko ya siku, napata soda ila kaja mdada ni mhudumu hapa ama kweli uzuri wa mtu upo machoni pa mtu jamani huyu dada kaumbika, kaumbika she is sex...
UROHO M-BAYA...Mwizi alibomoa nyumba akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka,akaonja kimoja akaona ni kitamu kina chumvi chumvi! Akafurahi akakaa chini akala vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.